uyu ndiye Mtuhumiwa wa mauaji ya padri mushi aachiwa kwa dhamana na mahakama ya Zanzibar

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
1.jpg
Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja
 
Mtu anatuhumiwa kwa kosa la uuwaji Eti anachiwa kwa Dhamana ya Pesa TZ Shillingi Laki 5 kwa wadhamini wawili Ahhh? Ama kweli Tanzania yetu tunazo mahamaka. Mimi nilifikiri ameachiwa kwa dhamana ya TZ Shillingi Millioni 50 kwa wadhamini wawili kila mmoja atoe hizo pesa Mtuhumiwa anaachiwa kwa TZ Shillingi Millioni 1 kwa kesi kubwa kama hiyo ya uuwaji? Haki kweli inatendeka hapo kwetu Tanzania katika vyomba vya kisheria jamani?
 
Ni kwamba sio muuaji.tulisema huwezi kumkamata mtu kwa katuni.mnaiaibisha nchi mavi nyie magamba.
 
Bora waseme hausiki itaeleweka.....Ila kama kuna ushahidi wakutosha mtuhumiwa wa mauaji dhamana ya Tsh milioni moja!!!?
 
Kesi za mauwaji nazo zinadhamana au kwa vile Z.bar na aliyeuwa sio mwenzao?
 
Kwa Zanzibar kila kitu kinawezekana
Halafu kijamaa kinajichekesha chekesha utadhani kinashikishwa ukuta!
 
Back
Top Bottom