Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja
Mtu anatuhumiwa kwa kosa la uuwaji Eti anachiwa kwa Dhamana ya Pesa TZ Shillingi Laki 5 kwa wadhamini wawili Ahhh? Ama kweli Tanzania yetu tunazo mahamaka. Mimi nilifikiri ameachiwa kwa dhamana ya TZ Shillingi Millioni 50 kwa wadhamini wawili kila mmoja atoe hizo pesa Mtuhumiwa anaachiwa kwa TZ Shillingi Millioni 1 kwa kesi kubwa kama hiyo ya uuwaji? Haki kweli inatendeka hapo kwetu Tanzania katika vyomba vya kisheria jamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.