uyu ndio mama aliyekwishatumia dolla million 4 kwa surgery ili afanane na paka

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
914429_cat_woman_yeoals_blogzine_jpg3dace383961bde465533eb7db1347cab
View attachment 74901


ukiwa na pesa kila kitu kinawezekana
 
Sisi wanadamu bwana! tukiwa na fedha tabu, tukikosa tabuu!! sijui Mungu atufanyie nini sis binadamu wenye shingo ngumu???
 
Duhhh....huo mzigo si ni karibia na madafu yetu bilioni kumi?

tz ni bajeti inaendeshea wizara fulani,inanikumbusha aliyekuwa mke wa tiger wood,walivyoachana alinunua nyumba dolla million 12 harafu akaibomoa yote ili ajenge anayotaka
 
Halafu bahati mbaya zaidi ni kuwa pamoja na kutumia fedha zote hizo bado hakufanikiwa kufanana na Paka,Paka sio mbaya namna hiyo..
 
Kuna watu wa ajabu duniani.,yaani changamoto zote hizi yeye kipaumbele ameona ni kutafuta sura ya paka.
 
kufuru tu na ubinafsi umewajaaaa.. sasa akifanana na paka ili iweje??? Hizo hela si angetumia kusaidia wasio nacho???
 
Back
Top Bottom