uyu ndio mama aliyekwishatumia dolla million 4 kwa surgery ili afanane na paka


O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,479
Points
2,000
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,479 2,000
Wamangaribi bana.....!
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Points
1,225
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 1,225
Mungu anatufundisha mengi sana hapa duniani
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,553
Points
2,000
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,553 2,000
Wehu mwingi sana hapa duniani!
 
Ngangasyonga

Ngangasyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Messages
456
Points
0
Ngangasyonga

Ngangasyonga

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2010
456 0
Sisi wanadamu bwana! tukiwa na fedha tabu, tukikosa tabuu!! sijui Mungu atufanyie nini sis binadamu wenye shingo ngumu???
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
Duhhh....huo mzigo si ni karibia na madafu yetu bilioni kumi?
tz ni bajeti inaendeshea wizara fulani,inanikumbusha aliyekuwa mke wa tiger wood,walivyoachana alinunua nyumba dolla million 12 harafu akaibomoa yote ili ajenge anayotaka
 
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
7,320
Points
2,000
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
7,320 2,000
Halafu bahati mbaya zaidi ni kuwa pamoja na kutumia fedha zote hizo bado hakufanikiwa kufanana na Paka,Paka sio mbaya namna hiyo..
 
alexmahone

alexmahone

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Messages
467
Points
250
alexmahone

alexmahone

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2011
467 250
Kuna watu wa ajabu duniani.,yaani changamoto zote hizi yeye kipaumbele ameona ni kutafuta sura ya paka.
 
S

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
3,084
Points
1,250
S

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
3,084 1,250
Badala ya kufanana na paka,kafanana na sokwe.
 
D

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Messages
1,151
Points
1,195
D

Dopas

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2010
1,151 1,195
kufuru tu na ubinafsi umewajaaaa.. sasa akifanana na paka ili iweje??? Hizo hela si angetumia kusaidia wasio nacho???
 
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
3,738
Points
1,225
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
3,738 1,225
Halafu bahati mbaya zaidi ni kuwa pamoja na kutumia fedha zote hizo bado hakufanikiwa kufanana na Paka,Paka sio mbaya namna hiyo..
Nyau masck.jpg
angekuja bongo kuna waganga wangeweza kutimiza ndoto zake akawa kama hivyo kwenye picha au hiyo avantar yako St. paka
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,923
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,923 2,000
alishagundua tokea mwanzo kuwa sura yake hailipi...
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
hata kuzuia kifo.
naamanisha mambo ambayo yako ndani ya uwezo wa binadamu ukiwa na pesa yanawezekana,unaweza usizuie kifo ila ukaongeza siku za kuishi
 
Endangered

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
931
Points
195
Endangered

Endangered

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
931 195
She is so far an ungly person I would run away from.
NB: Keep away from Children!
 

Forum statistics

Threads 1,284,369
Members 494,064
Posts 30,823,113
Top