UWT ni Umoja wa Wanawake Tanzania au Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,565
15,920
Hebu naombeni tafsiri maana naangalia azam two hapa wakina mama wanajumuisha wanawake wote wa Tanzania kwenye CCM kitu ambacho ni kosa kwa mtazamo wangu.

Huwezi kusema Umoja wa Wanawake Tanzania halafu una associated na CCM ilipaswa ijulkane Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania. Hayo mabendera ya CCM hapo yamechafua kila kitu siyo kila mwanamke ni CCM. Badilikeni hii siyo Tanzania ya Nyerere ya miaka ya 1970
 
Ni wa CCM peke yao,
Mi Mama yangu hayumo humo
 
Hebu naombeni tafsiri maana naangalia azam two hapa wakina mama wanajumuisha wanawake wote wa Tanzania kwenye CCM kitu ambacho ni kosa kwa mtazamo wangu.

Huwezi kusema Umoja wa Wanawake Tanzania halafu una associated na CCM ilipaswa ijulkane Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania. Hayo mabendera ya CCM hapo yamechafua kila kitu siyo kila mwanamke ni CCM. Badilikeni hii siyo Tanzania ya Nyerere ya miaka ya 1970
Mkuu halazimishwi mtu, si mliamua kususa kila kitu, endeleeni kususa,
Kufahamu zaidi tafuta katiba ya UWT, kila kitu kimeelezwa, toa majungu hapa
 
Tangu Uhuru walikuwa hivyo hivyo yaani ni chama zaidi
Kusema la haki wangekuwa wanajitegemea wao kina mama tu bila kushirikisha chama wangekuwa na maendeleo mengi sana kama Shule zao na hata Hospital zao na miradi mingi tu

Lazima watoe talaka tu na chama ili wajiongoze kivyao.
Nina uhakika wangejichangisha na kuwa na Ardhi zao kila sehemu na wangejisaidia sana hata hao masingle wangesaidiwa humo humo kwa michango yao au mnasemaje?
 
Hebu naombeni tafsiri maana naangalia azam two hapa wakina mama wanajumuisha wanawake wote wa Tanzania kwenye CCM kitu ambacho ni kosa kwa mtazamo wangu.

Huwezi kusema Umoja wa Wanawake Tanzania halafu una associated na CCM ilipaswa ijulkane Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania. Hayo mabendera ya CCM hapo yamechafua kila kitu siyo kila mwanamke ni CCM. Badilikeni hii siyo Tanzania ya Nyerere ya miaka ya 1970
Kiria anaweza kukujibu vizuri!
 
Back
Top Bottom