Uwoya,Shamsa,Aunt Ezekiel,Zari sio wao ni stress zinawasumbua

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Wadada tokea wapigwe chini wamekuwa wakitumia nguvu kubwa kuprove wapo ok,
ireneuwoya8-20190522-0001.jpeg

Hasaa uwoya ndio anataka watu waamini bado mbichi, baada ya kumpoteza ndiku, mara awee picha ya kigodoro mara hivi mara vile zote ni stress tu,

shamsa nae kapigwa chini tu mara apime HIV kwenye vyombo vya habari mara trip Dubai, mara aanike magazeti insta kumchoresha chidi yote hayo ya nini? Ni stress tu

Ezekiel nae toke apigwe chini na iyobo kazi kupiga picha na kijana mdogo kujionyesha yupo ok kumbe ni stress tu

Bibi yetu zari nae miaka 40 now na watoto watano juu lakini hakomi, tokea aachane na mond anateseka mara mapicha picha insta mara, kachukua kitoto huko kinaitwa king bae kina umri kana wa mwanae. ndio mpenzi wake mpya, lakini nyuma ya pazia zote ni stress tu

mkiachika achikeni kimya kimya
 
Wadada tokea wapigwe chini wamekuwa wakitumia nguvu kubwa kuprove wapo ok, View attachment 1110680

Hasaa uwoya ndio anataka watu waamini bado mbichi, baada ya kumpoteza ndiku, mara awee picha ya kigodoro mara hivi mara vile zote ni stress tu,

shamsa nae kapigwa chini tu mara apime HIV kwenye vyombo vya habari mara trip Dubai, mara aanike magazeti insta kumchoresha chidi yote hayo ya nini? Ni stress tu

Ezekiel nae toke apigwe chini na iyobo kazi kupiga picha na kijana mdogo kujionyesha yupo ok kumbe ni stress tu

Bibi yetu zari nae miaka 40 now na watoto watano juu lakini hakomi, tokea aachane na mond anateseka mara mapicha picha insta mara, kachukua kitoto huko kinaitwa king bae kina umri kana wa mwanae. ndio mpenzi wake mpya, lakini nyuma ya pazia zote ni stress tu

mkiachika achikeni kimya kimya

tatizo sio hao ni wewe na wao mitandao ya kijamii.
unajua simu inaongeza 80% ya ukichaa mpaka unapost
 
Back
Top Bottom