Uwoya hataki kurudi kwa mumewe?

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,068
183
6.gif



Huyu bibi esi nimesikia alikuja huku "KUREKODI MUVI" TUU? Imekuwaje? Utamu wa nyumbani umemzidia?
 
6.gif



Huyu bibi esi nimesikia alikuja huku "KUREKODI MUVI" TUU? Imekuwaje? Utamu wa nyumbani umemzidia?

Sasa bwegebwege kweli wewe inakuhusu nini akigoma kurudi kwa mumewe? Au unamtaka ndugu? thread zengine zinashusha hadhi ya JF inakuwa kama Zeutamu
 
Yuko kwa Buzi moja kiongozi wa juu wa CCM anakula bata ,hawezi rudi kwa mumewe keshazoea kunyonga kuchinja kumemshinda
 
teh teh teh nasikia ni kiburudisho kizuri sana...hii ni kwa mujibu wa swahiba wangu (ambaye pia ni memba humu jamvini)!! Jamaa anasema mengi mabaya yanayosemwa juu yake 80% si ya kweli, ukimtaka jiandae kuazimwa gari ili binti awe anazunguka nayo mjini!!
 
hayatuhusu/afu sio supa staa kiasi hicho,maigizo ya bongo wana msaada gani kwa jamii zaidi ya kuuza sura/nilikua napita 2
 
Huu umbea ukipelekwa GP unakatiwa chako. Wahi kwa ajili ya ijumaa
Na huko ndiko umbeya huu (udaku, ushakunaku, etc) ulikotokea na komenti zilikolea!!!
 
Pengine kazoea bongo so kiwinter cha Cyprus kimemshinda ndo kabaki bongo kwa gia ya kuigiza filamu..
Angekuwa mkeo wewe mtoa mada ungefanyaje??
 
Ukweli kwa maadili ya kiafrika mwanamke lazima atulizane na ndoa yake na mume wake sasa yeye kila kuukicha bongo ,ndo mana watu wanajiuliza au ndoa imemshinda ua huku kuna mapapa yanakula ndogo . Mwanamke anatakiwa atulie kwa mumewe kulikoni yeye kila kuchaoooo bongo ..............!!!!!!alaaaahhhh
 
maisha ya watu hayatuhusu! tumwache irene na ndoa yake jamani kha!! kuolewa, kuishi hapa au pale si kazi ya yeyeote zaidi yake na mumewe
 
Arudi huko haraka viporo vyake vya Bongo atachemsha saa ngapi?

listen jamani
Kwa wana anga mtanielewa zaidi..ndege ina cheki kama 3 ama 4 inategemea na aina
kuna CHK A
CHK B
CHK C
CHK D
nakila cheki ina umuhimu wake jamani zingine mpka utoke nje ya nchi..sasa mwnzenu alikuwa uko ugaibuni yawezekana imefika sehemu ya cheki anaitaji kuja tanzani kama tunavyopeleka ndege zetu marekani na kwingineko..so tusimhukumu sana ,....kuna moja ya chk d hiyo ni long chk inaitaji kuchekiwa sehemu nyingi yawezekana ndio muda wake anapga chk D mama fanya cheki vizuri wasikulazimishe uwahi waweza kuvuja oil gari ikashindwa kuondoka salama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom