Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.