Uwongo Mwingine Bwana, Eti Costa 4 Zilibeba Wafuasi 1,200 wa CHADEMA

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Katika magazeti yanayoongoza kwa uwongo TZ ni Uhuru likifuatiwa kwa karibu na Habari Leo. Leo nimecheka sana gazeti la Uhuru linasema Costa 4 zilikamatwa na zilikuwa zimebeba wanachama 1,200 wa Chadema na picha za Costa zimeonyeshwa uk wa mbele. Uwongo huu utawafikisha wapi? labda ingekuwa ni kuku ndio ningeenea. Natamani CCM wapigwe chini nione UHURU itaongoza na habari gani
 
Mkuu, umesahau na zile Fuso za CDM zilizokuwa zinasomba watu kutoka Kilimanjaro na Arusha!
Ukiongeza na hawo wa kwenye hizo Costa ndio unapata hiyo hesabu
 
Costa 4 abiria 1200!!! kweli uwongo mwingine noma, au walimaanisha abiia 200? au costa kwao Uhuru ni treni la kigoma
 
Kwahiyo kila coaster ilibeba watu 300 huh! Labda zilikuwa treni hizo sio coaster wala basi.
 
Katika magazeti yanayoongoza kwa uwongo TZ ni Uhuru likifuatiwa kwa karibu na Habari Leo. Leo nimecheka sana gazeti la Uhuru linasema Costa 4 zilikamatwa na zilikuwa zimebeba wanachama 1,200 wa Chadema na picha za Costa zimeonyeshwa uk wa mbele. Uwongo huu utawafikisha wapi? labda ingekuwa ni kuku ndio ningeenea. Natamani CCM wapigwe chini nione UHURU itaongoza na habari gani

Hizo ni costa au meli,yaani CCM kila siku inakuja na madai yasiyo na tija...
 
Katika magazeti yanayoongoza kwa uwongo TZ ni Uhuru likifuatiwa kwa karibu na Habari Leo. Leo nimecheka sana gazeti la Uhuru linasema Costa 4 zilikamatwa na zilikuwa zimebeba wanachama 1,200 wa Chadema na picha za Costa zimeonyeshwa uk wa mbele. Uwongo huu utawafikisha wapi? labda ingekuwa ni kuku ndio ningeenea. Natamani CCM wapigwe chini nione UHURU itaongoza na habari gani

Usiwe na wasiwasi mkuu, ccm kupigwa chini ni lazima. opinion poll ya leo inaonyesha CDM wapo juu kwa 85%
 
Costa 4 abiria 1200!!! kweli uwongo mwingine noma, au walimaanisha abiia 200? au costa kwao Uhuru ni treni la kigoma

kwa hesabu ya gazeti la uhuru, kila costa ilikuwa imebeba abiria 300.
Tulishasema ukiwa ndani ya ccm hata uwezo wakufikiri unakuwa below zero! haikuwa ajabu kuona mwandishi wa uhuru anaandika pumba!
 
Simple arthmetic.
1200/4=300
kila costa abiria 300.
Costa inauwezo wa kubeba wastani wa abiria 30, bila kuvunja sheria za Sumatra.
Abiria 300 ni sawa na costa kumi.
Ccm wajipange wanapoamua kudanganya.
 
Mkubwa.. hayo sio magazeti!!! Mimi ninamiaka..... hata kuyagusa!!!!!....
 
ukweli huwa ni pale tu habari inapoihusu CCM. Wengine malaika hawana makosa

Na wewe usiwe kama juha hata hesabu ndogo kama hiyo imekushinda?kwa kukusaidia nenda kaazime kikokotoo dukani upige hesabu, 1200 gawa kwa 4 ndio uje ulitetee gazeti la UHUNI na CCM.
 
ukweli huwa ni pale tu habari inapoihusu CCM. Wengine malaika hawana makosa
Basi tuambie ukweli kadri ujuavyo, huyo aliyeandika coaster 4 abiria 1,200 alikosea wapi na ukweli ni upi, ili tumsamehe kama binadamu?
 
Mkuu, umesahau na zile Fuso za CDM zilizokuwa zinasomba watu kutoka Kilimanjaro na Arusha!
Ukiongeza na hawo wa kwenye hizo Costa ndio unapata hiyo hesabu
CDM kwa matatizo ni balaa.
 
Back
Top Bottom