Uwoga wa ushindani umemfanya Magufuli kukumbatia mafisadi (Lowasa & Rostam) ili Membe asiwe kikwazo 2020. Ufisadi ni mfumo hasa walio madarakani

Ameandika Kada wa CCM Bollen Ngetti.

MWISHONI mwa mwaka jana vuguvugu au tuseme mpango wa kumfukuza uanachama Membe ulikuwa ni mkubwa. Bwana Mkubwa anaona aondoke lakini wazee wakajiuliza nini athari yake kwa chama?

Ushauri ukatolewa kwamba suti nyeusi wa kila mkoa wafanye utafiti Membe anakubalika kwa kiasi gani kiasi kwamba akifukuzwa chama hakitayumba?

Mkoa pekee ambao ulionekana kumkubali Membe kwa asilimia ndogo ni Geita inayomkubali kwa 72.1%. Dar iliongoza kwa 93%. Zoezi hili likafa kimya kimya.

Swali likabaki pale pale nani anaweza kumkabili Membe kuelekea 2020? Eduadi akaonekana muafa ndani ya CCM. Nani anaweza kumrudisha Eduadi CCM? Jina la Apson likaonekana nyota. Kwamba unapozidiwa hata adui sasa anakuwa rafiki.

Tukumbuke Bwana Mkubwa amekuwa akisema, "walidhani nitakuwa part of them, never". Sasa mazingira yanakulazimisha kuwa sehemu yao!

Kwa mantiki hiyo ni kwamba Eduadi hatogombea tena Urais lakini atakuwa na kazi moja tu, kumdhibiti kuelekea 2020 jambo ambalo pia ni gumu kwa kiwango cha juu sana maana hazina baraka za profesa wa siasa, Jakaya Kikwete.

CCM lazima tujitafakari tutawezaje kuvuka 2020 dhidi ya Lissu bila kutegemea nguvu za mitulinga na suti nyeusi? Tusiwaachie kazi hii Eduadi na Rostam. Nimesema mara kadhaa Mafikizolo Wako makini sana dhidi ya Bwana Mkubwa. Inzile wasihitaji msaada nje ya chama Bali iwe ni kinyume chake na ndio maana ninasema tuache woga maana CHADEMA wana nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi endapo makundi haya CCM hayataondoka! Linaendelea......
#AchaWoga2020
Hiyo ccm iliyokuwa na makundi haipo tena. Kwa sasa ccm ni moja tu na hao wanafiki walioko ndani hawana sera ya kumsumbua mkiti JPM na atashinda kwa asilimia 90 kwenda juu.
 
Magufuri Hakuna alichofanya sana sana ,ameongeza makundi na maadui wakubwa wenye nguvu ndani ya chama Rostam ,Lowasa ,Membe na muda utaongea .
Alikua akijidai kwenye majukwaa ooh mara mafisadi yamekimbilia chadema sasa sijui atasema nini sasa
 
Kweli siasa ni mchezo mchafu,I am not interested.Rostam na Lowassa CCM tena!
 
Ambae hajafahamu mpaka sasa kuwa siasa ya Tanzania ni kwa maslahi binafsi atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
Kuna watu mmebarikiwa akili lakini sijui kwa nini Zaburi 1:1 inawahusu!?
Dadangu FaizaFoxy soma hiyo,
"Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anawahitaji sana kuliko wanavomhitaji.Ukitaka kummaliza adui mfanye rafiki kuna MTU ataliwa kichwa ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom