Hata mwehu, tahira, or somebody unschooled at all atajua uwizi huu, haihitaji degree, masters degree or PhD ya kweli maana hapa TZ nyingi fake, kujua uwizi wa wazi huu, wala it doesn't need a minute to think such a huge vote rigging, wtu milioni 20 wamejiandikisha, halafu pamoja na kuiba/ kuchakachua JK kapa 5 milioni, Dr Slaa 2 milioni...??? No dought uwizi ni mkubwa mno, hawa watu milioni 12 wamenda wapi..?? na tunajua mwaka huu watu wamejitokeza saaaaana kupiga kura zaidi ya miaka mingine kwa hamasa ya kumpenda Dr Slaa, huu ni uwizi mbaya sana, na niseme tu, JK anajua, kila mtu anajua, atasingizia leta ushahidi, UKWELI KILA MTU KAUJUA CCM WABEIBA SAAAAAAANA, hata ndio maana maendeleo hayapo, wao na mafisadi, kweli ukistaajabu ya JK utayaona ya Chenge, sasa chenge katumwa na mafisadi agombee uspika, Mungu wangu wananchi amkeni, kote pingeni, Chenge spika???? CCM balaa, ugonjwa, hatari kubwa TZ, hta haya hawana Chenge au naota, anataka kuwa speaker..!!???? jamani utumwa bado upo TZ watu mpo kimya, tumeibiwa