UWiiiiiiiiii NAOMBA MSAADAA............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UWiiiiiiiiii NAOMBA MSAADAA.............

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kijakazi, Oct 18, 2007.

 1. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2007
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Jamani Nimeona Sipati Jibu La Swali Nikaamua Kufungua Uk Mpya,
  Nini Maana Ya Iq Na Jaribio lake Lifanywaje????????????????
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2007
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Nenda uka Google utapata majibu!!!!!
   
 3. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2007
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  From wikipedia:

   
 4. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2007
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  asante, na nafunga rasmi mjadala wangu.
   
 5. green29

  green29 JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35
  Ndugu nyani nafikiri hukupata muda wa kutosha kufikiri jibu la kumjibu kijakazi kwa nia ya kumsaidia. Nina wasiwasi na IQ (intellegence quotient)yako pia!!

  Tusisahau msemo usemao kuuliza si ujinga. Na asiyejua si mjinga kama anajua kama hajui na anafanya jitihada ya kujua. Hatukuzaliwa tukiwa tunajua kila kitu. Ni kutokana na interactions tulizopitia katika maisha (ambazo zinatofautiana kwa kila mtu)tunajikuta tunajua vitu mbalimbali. Kuna uwezekano mkubwa kuna vitu vingi ambavyo nyani havijui na kijakazi anavijua... na uwezekano ni mkubwa zaidi iwapo kuna theories zinazomfanya mtu asiulize swali kwa lengo la kujua. jinsi ya kumfanya kila mmoja ajue zaidi ni kushirikishana na kueleweshana kwa njia mbalimbali kama kwenda darasani, JF, ... SIMPLE!!! Inasemekana (kwa mujibu wa wana sayansi ya jamii) na inawezekana pia IQ inachangiwa kwa sehemu fulani na vizazi(genetics).

  Nafikiri anachohitaji kijakazi ni kujua tunamaanisha nini tunaposema IQ ya Nyani ni "x" na ya tumbili ni "y"; na baada ya hapo anahitaji kujua IQ inawakilisha nini katika maisha ya kawaida na ni jinsi gani tunapima.

  Nawasilisha
   
 6. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2007
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  That was a good reply and it didnt cost you a penny!
  And am sure Kijakazi amejisikia kwamba kumbe yeye si kiazi sana kama Zero alivyoimply - kwa jibu lake
   
Loading...