Uwiii napata kiraruraru

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Apr 14, 2013
155
19
Katika maisha yangu sijawahi kupata uchizi wa mtima kama sasa kwani mpaka nahisi kupata kiraruraru kwani kuna dada mmoja naishi nae du mpaka majanga yaani full kunitega afu kuna mtu nampenda alafu sitaki kumsaliti ila sasa imezidi iyo mitego mpaka nashindwa nifanye nini jamani naombeni ushauri wenu coz niko segera
 
Hapo hakuna kupoteza muda ni ww kunyosha njia yy anafuata then mengi baadae sana. Hapo umenielewaa
 
Mpaka hapa naona tayari umesaliti kwa mawazo, sasa mkuu nadhani sasa ukae mbali na uyo dada mana huchelewi kuja kujilaumu baadae......
 
Katika maisha yangu sijawahi kupata uchizi wa mtima kama sasa kwani mpaka nahisi kupata kiraruraru kwani kuna dada mmoja naishi nae du mpaka majanga yaani full kunitega afu kuna mtu nampenda alafu sitaki kumsaliti ila sasa imezidi iyo mitego mpaka nashindwa nifanye nini jamani naombeni ushauri wenu coz niko segera
Nahisi nikikushauri umle utafurahi maana ulivyojieleza nahisi unatafuta wa kukusupport. Dhambi!
 
Katika maisha yangu sijawahi kupata uchizi wa mtima kama sasa kwani mpaka nahisi kupata kiraruraru kwani kuna dada mmoja naishi nae du mpaka majanga yaani full kunitega afu kuna mtu nampenda alafu sitaki kumsaliti ila sasa imezidi iyo mitego mpaka nashindwa nifanye nini jamani naombeni ushauri wenu coz niko segera

Hivi kumpenda mtu maana yake ni nini kama unategwa na kuelekea kutegeka? Sikiliza, unapoamua kuwa na mtu, whether ni mke au mchumba, tambua kuwa bado utakutana na wengine wengi tu na pengine ni wazuri kwa namna tofauti na yule uliyenaye. Suala la kufanya ni kukubali na kuridhika na huyo uliyenaye kwa namna alivyo huku ukidharau na kupotezea wengine waliobaki. Ukiwa mtu wa kutegeka, utakuwa unategeka kila siku maana wazuri wanazaliwa kila leo, na wengine bado hata hawajazaliwa!!! Kubali kuridhika, na mpende mtu wako.
Acha tamaa na kila la kheri!
 
hivi kumpenda mtu maana yake ni nini kama unategwa na kuelekea kutegeka? Sikiliza, unapoamua kuwa na mtu, whether ni mke au mchumba, tambua kuwa bado utakutana na wengine wengi tu na pengine ni wazuri kwa namna tofauti na yule uliyenaye. Suala la kufanya ni kukubali na kuridhika na huyo uliyenaye kwa namna alivyo huku ukidharau na kupotezea wengine waliobaki. Ukiwa mtu wa kutegeka, utakuwa unategeka kila siku maana wazuri wanazaliwa kila leo, na wengine bado hata hawajazaliwa!!! Kubali kuridhika, na mpende mtu wako.
Acha tamaa na kila la kheri!

haina nouma
 
Katika maisha yangu sijawahi kupata uchizi wa mtima kama sasa kwani mpaka nahisi kupata kiraruraru kwani kuna dada mmoja naishi nae du mpaka majanga yaani full kunitega afu kuna mtu nampenda alafu sitaki kumsaliti ila sasa imezidi iyo mitego mpaka nashindwa nifanye nini jamani naombeni ushauri wenu coz niko segera

Weeee, kula hiyo kitu, umuache kwani dada ako huyo? Kama huyo nwingine unampenda si ndo ungeishi nae. Sasa huyu unaishi nae unaacha alafu huyo usieishi nae wenzako nao pia wanajipozea kiulaiin.
Kwani kakwambia anataka ndoa? Si anataka kugegedwa tu? Kama huwezi hembu mi nipishe huko, alaaaaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom