MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Katika maisha yangu sijawahi kupata uchizi wa mtima kama sasa kwani mpaka nahisi kupata kiraruraru kwani kuna dada mmoja naishi nae du mpaka majanga yaani full kunitega afu kuna mtu nampenda alafu sitaki kumsaliti ila sasa imezidi iyo mitego mpaka nashindwa nifanye nini jamani naombeni ushauri wenu coz niko segera