Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
Idadi ya wasiojiriwa mtaani imeongezeka maradufu kutokana na wahitimu wa vyuo kujazana kwa awamu kadhaa bila kuajiriwa tofauti na miaka ya nyuma. Hapa nadhani ule mpango wa kukamata wasio na ajira Dar ukifanyika leo utabeba wengi mno.