Uwezo wetu kupima ubora wa bidhaa toka nje uko vipi?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,573
Lengo la uzi huu sio kukosoa wa kejeli bali kupata uwezo na data za kueleweka kuhusu bidhaa toka nje ya nchi!
Kama taifa tumeshindwa kutengeneza magari, dawa flani,ndege au mashine mbalimbali ina maana kuna kitu tumepungukiwa either teknolojia,fedha wataalam n.k

kama kitu kimetushinda je tunaweza kupima ubora wake? Maana hawa watengenezaji wanaweka foji baadhi ya vitu au kupunguza ubora ili tuu wafanye biashara na sisi.

Kuna bidhaa watengenezaji wameficha formula walizotumia ila wajanja wasicopy na kupest! kama hujui formula aliyotumia utaweza kupima ubora?
Je kama bidhaa imekushinda kutengeneza utaweza kupima ubora wake?
 
Kama Mahospitalini tumeshindwa kuwa na Maabara bora na za Kisasa.., huko kwingine tuzidishe maombi!!!
 
Au unakuta bidhaa haijaorodheshwa kilichomo ndani yake.
Hapana huwa ninaona operation ambazo hufanywa na mamlaka huzika kubaini viuatilifu badia sababu kuu za msingi wanasosema ni bandia husema kwamba hazijaandikwa kiingereza wala kiswahili , mimi nilitarajia waje na scientific approach kuwa ni badia kwa sababu a..b...c
 
waipeleke maabara waje na sababu kuwa ina chemical kadha wa kadha ambayo ni hatari kwa afya!!
au content zilizopo ni tofauti na zilioandikwa kwenye kifungashio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom