Uwezo wa viongozi wetu wa kisiasa unatia mashaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwezo wa viongozi wetu wa kisiasa unatia mashaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbunge, Jul 30, 2009.

 1. M

  Mbunge Senior Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwezo wa viongozi waliopo kielimu na kitafakuri ni mdogo mno na ndio maana wanaendeshwa na viongozi wa dini.

  Na haya tumeyaona kwa vikongwe wa siasa toka enzi za ujamaa kucharurana wenyewe kuhusu waraka katoliki.

  Ni dhahiri nchi hii itakuwa ikiyumibishwa na watakacho au wasichokitaka viongozi wa dini hadi pale atakapopatikana kiongozi anayejua kuwaweka viongozi wa dini wanapostahili kama atakavyowaweka viongozi wa nyanja nyingine pale wanapostahili.

  How do you explain the submissive and obeisance behavior of some of our political leaders to the clregy however highly positioned the clergy may be. It means one thing for sure. The leader THINKS AND BELIEVES that he or she is a sinner and the religious leader a SAINT. On the other hand when the same leader looks down upon leaders of other religion the interpretation is simple: he thinks and believes that the other religions leaders are third class citizen, troublemakers and useless good-for-nothing batch of time wasters! Is it so ????? Tell me the truth man in doubt!
   
 2. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Watu wa dini ni constituency na Rais ni lazima apate ridhaa yao ili aweze kuongoza.


  ''Every President has to establish with the various sectors of the country
  what I call "the right to govern." Just being elected to the office does not
  guarantee him that right. Every President has to inspire the confidence of
  the people. Every President has to become a leader, and to be a leader he
  must attract people who are willing to follow him. Every President has to
  develop a moral underpinning to his power, or he soon discovers that he
  has no power at all.''
   
 3. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yes,wengi wao ni vihio,ndio maana uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.Kila upepo unaokuja unawayumbisha tu.Nimeshasema mara nyingi,the best brains have been cast in the streets,tulio nao huko juu is trash!

   
Loading...