Enzi za mwendazake tuliongea lugha hii hii....na sasa tunarudia lugha hii hii..
 
Mbona mimi niliko sijaona kibanda cha m pesa hata kimoja kimefunga? Hoja yako Inge make sense kama Serikalini ingeahindwa kukusanya pesa Kwa maana ya kwamba watu wametafuta mbinu zingine.

Kinyume na hapo unaongea hekaya tuu.
Hapo ni sawa na kumchinja mbuzi au kuku. Usitegemee ukimkata shingo atakata robo hapo hapo., Lazima ajiviringishe.

Hao ambao hawajafunga kawaulize wanasubiri nini? Utapata jibu. Usisahau kuleta mlejesho.
 
Porojo as gwajiboy eti baada ya miaka 5 sijui watu watakuaje,thibitisha kisayansi ooh mm ni mtumishi nimeoneshwa pumbavu
 
Tuna lundo la wachumi Tz lakini ni useless kwa sababu siasa imehodhi mambo mengi ya msingi nchini.Na siasa maslahi ndio sumu mbaya mno inayoua nchi hii.
 
NDUGU ZANGU KINACHOONEKANA SASA HIVI KUHUSU UCHUMI NA KUKOSEKANA FEDHA KATIKA MZUNGUKO NI MATOKEO YA UTAWALA WA MIAKA 6 YA AWAMU YA TANO. YAANI NDIO TUMEFIKA KILELENI NA HAKIKA AWAMU YA TANO INGEENDELEA NI DHAHIRI WANANCHI WANGEKUA FUKARA WA KUTUPWA. HALI HII HAIHUSIANI KABISA NA AWAMU YA SITA. JITAHADA ZA AWAMU YA SITI KUREJESHA FEDHA KWENYE MZUNGUKO YANAWEZA KUONEKANA BAADA YA MIAKA MITATU IJAYO BAADA YA JUHUDI KUBWA.
 
Wabongo wanapenda sana kulialia.
Mama mitano tena
#KaziIendelee
Chanzo sio SSH bali ni JPM,yeye alitudanganya kuwa kwa kiwago kikubwa anatumia pesa za kodi zetu, kutekeleza Mega Projects kutokana na kodi zetu,kwamba hakopi nje,na hakikopa ni kwa kiwago kidogo,kumbe kakopa over 31 trillions shillings kwa kipindi kifupi tu cha miaka 5.
Kibaya zaidi alikopa kutoka commercial banks ambazo interest rate ni kubwa na muda wa kurudisha deni ni mfupi ukilinganisha na benki kama World Bank au IMF,
Magufuli katufanyia mengi mazuri lakini hili la mikopo na kufanya miradi mikubwa kwa kushutukia itatuendesha kwa muda mrefu.
 
NDUGU ZANGU KINACHOONEKANA SASA HIVI KUHUSU UCHUMI NA KUKOSEKANA FEDHA KATIKA MZUNGUKO NI MATOKEO YA UTAWALA WA MIAKA 6 YA AWAMU YA TANO. YAANI NDIO TUMEFIKA KILELENI NA HAKIKA AWAMU YA TANO INGEENDELEA NI DHAHIRI WANANCHI WANGEKUA FUKARA WA KUTUPWA. HALI HII HAIHUSIANI KABISA NA AWAMU YA SITA. JITAHADA ZA AWAMU YA SITI KUREJESHA FEDHA KWENYE MZUNGUKO YANAWEZA KUONEKANA BAADA YA MIAKA MITATU IJAYO BAADA YA JUHUDI KUBWA.
Nilikuwa nataka niandika the same thing lkn ukweli WATANZANIA walio wengi ufahamu wao ni mdogo sn.

Suburi waje na comments zao utajua kwenye hili ulilo andika hapa watakwambia bora hata MWENDAZAKE.
 
Chanzo sio SSH bali ni JPM,yeye alitudanganya kuwa kwa kiwago kikubwa anatumia pesa,yaani zetu kutekeleza Mega Projects kutokana na kodi zetu,kwamba hakopi nje,na hakikopa ni kwa kiwago kidogo,kumbe kakopa over 31 trillions shillings kwa kipindi kifupi tu cha miaka 5.
Kibaya zaidi alikopa kutoka commercial banks ambazo interest rate ni kubwa na muda wa kurudisha deni ni mfupi ukilinganisha na benki kama World Bank au IMF,
Magufuli katufanyia mengi mazuri lakini hili la mikopo na kufanya miradi mikubwa kwa kushutukia itatuendesha kwa muda mrefu.
Okay kwahio hizo tozo ndio zinalipa madeni ya JPM sio. Kazi ipo.
 
NDUGU ZANGU KINACHOONEKANA SASA HIVI KUHUSU UCHUMI NA KUKOSEKANA FEDHA KATIKA MZUNGUKO NI MATOKEO YA UTAWALA WA MIAKA 6 YA AWAMU YA TANO. YAANI NDIO TUMEFIKA KILELENI NA HAKIKA AWAMU YA TANO INGEENDELEA NI DHAHIRI WANANCHI WANGEKUA FUKARA WA KUTUPWA. HALI HII HAIHUSIANI KABISA NA AWAMU YA SITA. JITAHADA ZA AWAMU YA SITI KUREJESHA FEDHA KWENYE MZUNGUKO YANAWEZA KUONEKANA BAADA YA MIAKA MITATU IJAYO BAADA YA JUHUDI KUBWA.
Ni kweli kabisa hizi tozo zote na Kodi ya uzalendo ni jitihada za kurudisha pesa kwenye mzunguko. Mama mitano tena
#KaziIendelee
 
NDUGU ZANGU KINACHOONEKANA SASA HIVI KUHUSU UCHUMI NA KUKOSEKANA FEDHA KATIKA MZUNGUKO NI MATOKEO YA UTAWALA WA MIAKA 6 YA AWAMU YA TANO. YAANI NDIO TUMEFIKA KILELENI NA HAKIKA AWAMU YA TANO INGEENDELEA NI DHAHIRI WANANCHI WANGEKUA FUKARA WA KUTUPWA. HALI HII HAIHUSIANI KABISA NA AWAMU YA SITA. JITAHADA ZA AWAMU YA SITI KUREJESHA FEDHA KWENYE MZUNGUKO YANAWEZA KUONEKANA BAADA YA MIAKA MITATU IJAYO BAADA YA JUHUDI KUBWA.
None sense kabisa hii,
Kwa vile Mwamba hayupo ndio mnajidai kuwa alikuwa amefikia point of no return eee

Binafsi siafiki hii comment yako jombaa
Mwamba alikuwa mbunifu na mwenye uwezo wa kufikiri nje ya box, kitu ambacho viongozi wengi waliobaki hawana huo uwezo,
Na kuhakikishia kuwa laiti angekuwepo hivi Leo haya mambo yasingekuwepo

JPM aliwekeza zaidi kupata kodi kupitia rasilimali asili za nchi na alikuwa makini sana na kuzitumia rasilimali za nchi na utajiri tulio nao wa maliasili,
Mifano tu ni hii hapa
1.Bahari na maziwa kupitia uvuvi kwa maana ya uwekezaji zaidi na ndio alikuwa na mawazo ya kujenga zaidi meli za uvuvi na anga kusafirisha mabondo nje kwa maana ya exportation
2.Madini, kuongea mnyororo mqkubwa wa walipa kodi hasa wachimbaaji wadogo wadogo na uchenjuaji madini hata mataifa jirani kuleta hapa kwetu kusafisha madini yao
3.Utalii kupitia anga kwa maana ya ununuzi wa ndege kubwa za kubeba watalii kutoka mbali moja kwa moja pia na viwanja vingi vya kutua madege makubwa makubwa
4. Viwanda vingi zaidi
5. Usafirishaji na miundo mbinu
Haya baadhi tu, na aliweza kuyasimamia na kutekeleza yaan

Ndio maana kuna kipindi cha kampeni alisisitiza kuteua watu walio na uwezo wa kufikiri nje ya box na kam mtu asingeweza hivyo asingekuwepo katika baraza Lake ni kama hawa tunao waona Leo wamefeli vibaya kwa sababu walkuwa backed up kufikiri na Mwamba, kitu ambacho bi Maza hana uwezo huo ata angalau kuwa back up wateule wake
 
NDUGU ZANGU KINACHOONEKANA SASA HIVI KUHUSU UCHUMI NA KUKOSEKANA FEDHA KATIKA MZUNGUKO NI MATOKEO YA UTAWALA WA MIAKA 6 YA AWAMU YA TANO. YAANI NDIO TUMEFIKA KILELENI NA HAKIKA AWAMU YA TANO INGEENDELEA NI DHAHIRI WANANCHI WANGEKUA FUKARA WA KUTUPWA. HALI HII HAIHUSIANI KABISA NA AWAMU YA SITA. JITAHADA ZA AWAMU YA SITI KUREJESHA FEDHA KWENYE MZUNGUKO YANAWEZA KUONEKANA BAADA YA MIAKA MITATU IJAYO BAADA YA JUHUDI KUBWA.
Ngoja tusuburi baada ya miaka mitatu tuone hali ya wananchi itakuwaje, kwa huu mfumo wa tozo na Kodi lukuki usitegemee mzunguko wa fedha kuwa mzuri, fedha itakuwa inarudi serikalini kwa asilimia kubwa na watu watabaki hawana kitu.
 
Eti vibanda vha wakala vinafungwa daaaah

wapi huko mtu kafunga biashara sababu ya tozo acheni uongo
 
Chanzo sio SSH bali ni JPM,yeye alitudanganya kuwa kwa kiwago kikubwa anatumia pesa za kodi zetu, kutekeleza Mega Projects kutokana na kodi zetu,kwamba hakopi nje,na hakikopa ni kwa kiwago kidogo,kumbe kakopa over 31 trillions shillings kwa kipindi kifupi tu cha miaka 5.
Kibaya zaidi alikopa kutoka commercial banks ambazo interest rate ni kubwa na muda wa kurudisha deni ni mfupi ukilinganisha na benki kama World Bank au IMF,
Magufuli katufanyia mengi mazuri lakini hili la mikopo na kufanya miradi mikubwa kwa kushutukia itatuendesha kwa muda mrefu.
Umeeleweka
 
Back
Top Bottom