mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF.
Tangu uwepo ugonjwa wa Corona, mapambano ambayo NIMR imeyafanya , imejiongezea umaarufu na kujikutabinajulikana sana baada ya kutengeneza Tiba lishe mbali mbali kupambana na COVID19. Kabla ya hapo watanzania wengi walikuwa hawajui kama kuna kitu kama NIMR kinafanya utafiti wa Tiba mbalimbali.
Corona imetuamsha kuwa waafrika sasa tunaweza kuachanabna dawa za kiulaya ulaya tukatengeneza zetu ili kukwepa mikono ya mabeberu ambayo kwa kiasi kikubwa wanataka kutuingiza kwenye New World Order.
Kwa ufupi nimeona NIMR inaweza kutengeneza dawa Tiba lishe kukabiliananna kufubaza virus vya ukimwi tukaondokana na kutishwa tishwa na mataifa ya nje. ARV imetolewa muda mrefu, hivyo hawa watafiti hawawezi kishindwa kujua kilichomo kwenye dawa hizi.
Kama China wanacopy kila aina ya technology kwanini nasi watanzania tukafanya hivyo? NIMR ni wakati wa kukopi madawa mbali mbali mengine kuyaongezea uwezo kwani tumeanza kuwa na imani nao. Chini ya Rais wetu Magufuri tunaweza.