Uwezo wa madaktari wetu ni mdogo au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwezo wa madaktari wetu ni mdogo au?

Discussion in 'JF Doctor' started by NGOWILE, Oct 29, 2011.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa wetu kwenda kutibiwa nje ya nchi ni ufahari au ni uwezo mdogo wa madaktari wetu?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni ufujaji tu wa rasilimari za taifa
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  The problem si uwezo. Ni vitendea kazi na renumeration.
   
 4. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  resources hakuna.halafu kuna ulimbukeni mkubwa kwa viongozi wetu kuhusu magonjwa mbalimbali.
   
 5. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hatuna vifaa mkuu licha ya madaktari wazuri wanaoikimbia tz kila kukicha.
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo ni mchanganyiko wa sababu nyingi
  1. Ukosefu wa vitendea kazi muhimu hasa kwenye upimaji wa magonjwa ( maabara, molecular tests, xray, ultrasound, echocardiogram(TTE or TOE), CT scan, CTPA, CT angio, MRI, MRI angio, Bone scans, white cell scans, PET scan etc list ni ndefu)
  2. Ukosefu wa wataalam kwenye vipimo ambavyo vinahitaji technologists na technicians wenye ujuzi mkubwa
  3. Uendelezaji wa mfumo wa tiba kwa kizamani - hivi sasa watu wenye akili zao huduma zao za afya wanaziendesha kwa multidisciplinary approach kuna medical team (madaktari), diagnostic teams (maabara, xray, scans) nursing team, phsyiotherapist, dietician, social workers na occupational therapists wakati sisi bado umuhimu uko kwa madaktari peke yao, kila kitu ni daktari daktari daktari!!!.
  4. Ukosefu wa miundo mbinu (umeme, maji nk) maana vifaa vingine ni mamashini makubwa yanayohitaji kuwepo kwa maji na umeme wa uhakika pamoja na technicians ambao wanaweza ku vi service. Kuna technilogical gap kati ya vifaa vya kisasa na uwezo wetu kuvitumia
  5. Uhafifu wa mfumo mzima wa afya - wagonjwa hawapati huduma za chakula, malazi, dawa zenyewe ni feki, maji ya drip eti ndugu wakajinunulie, hata ambulance sytem hakuna, kila mgonjwa ajisafirishe mwenyewe kwenda na kutoka hospitalini
  6. Udhaifu wa elimu wanayopata madaktari kwenye vyuo vyetu ni tatizo kubwa, hata kama wanasomeshwa vizuri ukweli kwamba hospitali hazina vifaa vya uhakika kwa kupimia wagonjwa basi ni dhahiri kuwa daktari wa muhimbili kuna nyanja za udaktari ambazo hataziona hadi anamaliza masomo yake, mimi huwa nawafananisha na wanafunzi wa shule za kata ambao wanasoma sayansi bila kuwepo maabara, madaktari wetu wa muhimbili siyo wakamilifu kwenye masomo yao.
  7. Tabia ya kitanzania ya ubinafsi, kila mtu anajali maslahi yake mwenyewe inachangia sana kudumaza maendeleo ya sekta nyingi ikiwemo afya. Hata kama mzungu atatuonea huruma kwa ulofa tulionao na akatamani kusaidia kuweka vifaa na kusomesha madaktari kwa ufanishi wa juu hao wakuu watakokabidhiwa hilo jukumu bado wataangalia kwanza familia zao na za marafiki wao kama hawanufaiki basi mpango utajifia tu.
   
 7. a

  abdalah Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Miaka 50 ndani ya uhuru and then we refer a malaria case to India,thats purely ubadhilifu.You have Ocean Road hospital and refer a breast cancer to India.Please
   
 8. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hauhitaji Lab technologist wala CT Scan au MRI kudiagnose MALARIA na SINUSITIS. Wala hauhitaji professors kutibu hayo magonjwa mawili. Malaria na Sinusitis zinakuwa diagnosed na kutibiwa Clinical Officers huko kwenye dispensary vijijini huko, don't tell me somebody has to use thousands of our dollars to go to India for that!
   
 9. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Dr, it is just an opportunity au priviledge. Hata mimi nikizipata kwenda tibiwa allergy India nisingekataa.
   
Loading...