uwezo wa kumpa mimba mwanamke

majiyachupa

Member
Jul 5, 2011
57
11
salaam!

Naomba kuuliza wakuu, shahawa za mwanaume zikiwa nyepesi, kiasi cha kulowanisha hata makalio ya wife kama wametumia missionary position anaweza kumpa mimba mwanamke? Au ni tatizo amuone daktari?
 
Kwani umeambiwa mbegu za mimba zinakuwaga nzito ka uji...huwezi pima kwa macho, et kisa ni nyepec. ushauri mwambie aende akamwone doctor kama hajiamini...
 
Mwone dr kaka,ukazipıme mbegu hzo mkuu,lakın ukısıkılıza maneno ya mtaanı utakuja kuadhırıka kısaıkolojıa.
 
Kama ni nyepesi sana zichanganye na mayonaiz au blue band naamini zitakupa matokeo mazuri!!!!
 
sasa unauliza nini na mwanamke wa kulowesha makalio yake unaye? Si ujaribu kummwagia siku za hatari uone kama anashika?
 
Hehehe! Kulowesha makalio means huyo mwanamke umbile lake linamwaga nje na sio ndani. Yaani ukimkojolea asilimia kubwa ya shahawa zinatoka nje badala ya kumezwa ndani kama maumbile mengine. Hapo ili mimba iingie lazma umkunje akae mkao ambao hautamwaga shahawa nje.
 
zinapotoka nje ndo inatatiza kama itaweza nasa kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom