majiyachupa
Member
- Jul 5, 2011
- 57
- 11
salaam!
Naomba kuuliza wakuu, shahawa za mwanaume zikiwa nyepesi, kiasi cha kulowanisha hata makalio ya wife kama wametumia missionary position anaweza kumpa mimba mwanamke? Au ni tatizo amuone daktari?