Uwezo wa huyu mtu Bear Grylls ni wakawaida wapendwa au ni movie kama movie zingine tuu..

Aliona Buibui kwenye Ice cream akasema eti "There is icec ream on my spider.."
Hahaa jamaa aliyoa ice cream akala spider..
kwenye kula wadudu ndio anaponishangaza maana anasemaga kuna wadudu wakuliwa na ambao sio wa kuliwa,anakulaga chura live ila kuna chura anasema hutakiwi kuwala maana wana sumu hatari hata nyoka hafui dafu.
 
Huyu ni british Ex commando anao ujasiri wa kiaskari na uwezo wa kutumia mazingira yaliyo nayo kuishi. Kumbuka anarekodiwa hivyo unayoona ni intertainment
kweli hata mimi nilishahisi huyu sio mtu wa kawaida
 
Huyu ni british Ex commando anao ujasiri wa kiaskari na uwezo wa kutumia mazingira yaliyo nayo kuishi. Kumbuka anarekodiwa hivyo unayoona ni intertainment
Kwa kuongezea, leo sio entertainment hasa, bali ni kufundisha mbinu za ku-survive ukijikuta kwenye mazingira magumu/hatarishi/yasiyo ya kawaida. Ndio hasa lengo la vipindi vyake.
 
uyo jamaa naskia on camera ndo anafanya ivyo but off camera anapiga Hamburg vzur tu mbona....izo n entertainment tu wanatafta ela !!
 
NI KWELI ila kwa huyu jamaa pamoja na
urahisi ila anapitia magumu hadi unajiuliza ni
pesa tu anatafuta au kuna jingine?
Huyo mjomba nomaa namfatilia sana na wale naked wawili msituni wanajalibu kuishi bila mavazi kama zama zile za mwanzo sometime unajiuliza hivi huyo mjomba hadisi(hasimamishi mguu wa mtoto) anavyotembea na huyo demu polini? nomaa
 
Hao naked wawili wanapatikana decoder gani mkuu?
 
Ni former SAS ambayo ni part of special force kwa kifupi ni komandoo
 
Back
Top Bottom