uwezi kuamini uyu binti mrembo alizaliwa akiwa mvulana akajibadilisha kuwa mdada mrembo

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
1467245_99b928c8647711e39a631244e845746f_6_jpge5faf1f3521ae83d62defe0b19a8620e

1467246_bc5458745d3a11e3bef91287f4941c18_6_jpgb5c762c711993a79e2253655026e087a

1467247_73c23a165ea911e399070e05f518f0a4_6_jpgd56117cc7a7dc9524f194a9d32856c5f

1467248_537a7c7255e011e3864a1214b0ba1990_6_jpge8c693b0b18ae9460717dc5aea91fb56

Amiya’s baby picture, when she was still a boy!
1467251_56f991685d7d11e3add112b8d6ee8100_6_jpg4ad881c0df7f6332adc254c2910dcf4e

1467252_6b57bb8e55d111e3a9a512a1e226fcfe_6_jpg0a871ba0de973d94e3c47a5f7a8049ce

1467253_4087c4ea5db911e38b7a121ebcf48fc3_6_jpgb090f39a1859e779d1cdde82e6ff954e
 
Kwa hiyo alifanyiwa surgery au
Leo umeona kiswahili nashukuru,sijui warumi yuko wapi
 
Kwa hiyo alifanyiwa surgery au
Leo umeona kiswahili nashukuru,sijui warumi yuko wapi

ndio alifanyiwa surgery akawekewa viungo vya kike na kuchongwa sura.

hiyo picha ya mtoto ni wakat yuko mvulana.

pia uyo anaishi marekan katika jiji la New York kwenye mtandao wa instagram ana marafik laki 4
 
Bado ni mwanaume hata afanyeje hawezi badili maambile aliyoumbwa na mola wake...
 
ndio kishakuwa mdafa tena sipati picha akiwa na mimba yeree uwii mijitu mingine bana khaa..
 
Kwa hiyo alifanyiwa surgery au
Leo umeona kiswahili nashukuru,sijui warumi yuko wapi

Haaahaa duh una hasira na lugha ya kigeni hasa hii iliokuja na meli leo warumi hana kazi naona lugha ya baba wa taifa imetumika uwiiiiii ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
Bora angebaki kuwa mvulana maana anaonekana angekuwa HB kweli angewalamba ma-shawrty kibao.
 
ndio alifanyiwa surgery akawekewa viungo vya kike na kuchongwa sura.

hiyo picha ya mtoto ni wakat yuko mvulana.

pia uyo anaishi marekan katika jiji la New York kwenye mtandao wa instagram ana marafik laki 4

Kwa hiyo anat o mb wa kama kawaida au,
Mi nataka nikawekewe dushelele nchi 9 hiv maana nijue hua mnapata utamu gani??
 
Back
Top Bottom