Uwezi amani hizi ndio picha tatu za lulu akiwa mazoezini..msamba huoo dahh

I will go there tommorow Morning.........But am sure U will appear in my mind

when I will be doing the curves.......

But you need to be careful to concentrate in your curves. Entertaining my images during those procedures can cause you a permanent damage to your brain,
 
Kapt+Komba.JPG

Nimemuona shemej yetu duuuu sasa baadala wawe wanaenda pamojaaa ili shemej nae apunguee angalau hilo tumboo
 
Hongera lulu inabidi upungue sn ili muendane na YOUNG DAR ES SALAAM.
 
Wabongo kwa visa..........kwa hiyo mmetuwekea picha ya hilo jibaba ili tutafakari ama ?

Ok...let me tafakari............kajaribu kulisukuma jibaba likamshinda so kaamua kuingia jimu............jibaba akae chonjo aise....naye atapata push muda si mrefu.....
 
Hahahahahaaa,Duh we kiboko yao yaani unataka na hili nalo aje alisukumize siku moja..??
 
Back
Top Bottom