T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,648
- 34,916
Kufanya nao kazi hakumaanishi wanaweza vita. Kwahiyo waliofanya kazi na Wachina na Waturuki nao waseme wanajua vita. Kama North Korea inajua kinachoifanya iwe maskini ni nini? Si watumie kujua kwao kujikomboa au wanaupenda umaskini. Nchi ambayo kujenga kiwanda cha mbolea inakuwa ajenda ya kutajwa sikukuu ya mwaka mpya ndio mnailinganisha na South KoreaMungu akisaidie ndugu,humjui North Korea wewe,usiwasikilize BBC ndugu hao jamaa ni zaidi ya ujuavyo,nime fanya nao kazi miaka miwili nawajua