Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

Mungu akisaidie ndugu,humjui North Korea wewe,usiwasikilize BBC ndugu hao jamaa ni zaidi ya ujuavyo,nime fanya nao kazi miaka miwili nawajua
Kufanya nao kazi hakumaanishi wanaweza vita. Kwahiyo waliofanya kazi na Wachina na Waturuki nao waseme wanajua vita. Kama North Korea inajua kinachoifanya iwe maskini ni nini? Si watumie kujua kwao kujikomboa au wanaupenda umaskini. Nchi ambayo kujenga kiwanda cha mbolea inakuwa ajenda ya kutajwa sikukuu ya mwaka mpya ndio mnailinganisha na South Korea
 
Ila we ndugu yangu, wote tunasoma tu hapa hakuna aliyewahi kufika uko labda ww wenzangu umefika na kuuona huo umasikini, North Korea waweza ilinganisha na nchi gani labda hapa Afrika? Kama hao North Korea tu wapo jeshini kwetu nasikia tokea enzi za Mwl mpaka leo, ww ndo unakuja kuwabeza, hebu nenda kwenye bucha za nyama jaribu kuangalia zile mashine za kukatia nyama zimetoka wapi? Mashine nyingi utaambiwa za Korea Kaskazini, na wenyewe watumiaji wanakuambia ndio bora zaidi. We haya mambo ya uko yaache siso tuendelee kunawa mikono kwa maji tiritika na sabuni na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya ndugu yangu. Eti Korea uchumi mbovu, Russia uchumi mbovu, nyie watu nani anawadanganya hivi?
 
Nchi qmbayo intelejensia yao iliwafanya dunia nzima mpaka wakubwa huko mbele CNN, BBC, Aljezera nk waamini kwamba kiongozi wao mkubwa kafariki na wakatuaminisha pia kumbe matango pori, leo unawabeza, kama intelejensia ya hao wakubwa ilikua vzr kuzidi Korea Kaskazini nini kiliwafanya washindwe kung'amua kama wanalishwa matango pori? Leo unakuja kusema uchumi wao mbovu, umeteseka na Covid wee, umeshasikia Korea Kaskazini wakiiongele Covid kama ww? Acha kabisa haya mambo ndugu kuyachambua kwa ushabiki, masikini anaweza kutest ICBM kila mara, unajua gharama ya kurusha tu lile kombola la test?
 
Urusi inadharwuliwa sanaa, kumbukeni alichifsnya Chechen miaka ya 90, dunia ikaka kimyaa na kipindi icho urusi hakuwq na uchumi huu wa sasa. Pia swala.la uchumi hizi nchi za kisoshalisti nyingi hazina data za ukweli unaweza ambiwa uchumi mbovu ukajiingiza kimya kimya ikashangaa unamaliza uchumi wako wenzako wako tu.

Swala la korea kaskazini, hao washikaji ni wanajeshi wa korea kusini nilikua napiga nao stori tu, wanasema wakijaribu kuanzisha vita na Korea Kaskazini muda wa dak 5 korea kusini haitakuwepo ktk uso wa dunia, sasa ndugu zangu wa Tandale tushashiba vitumbua tunaiona korea ya kiduku kama bongo.

Hawa watu sio wa kuwatania, 2014 Marekani na washirika wake kwani hawakupeleka jeshi Ukraine, mbona Cremia ikachukuliwa mchana tena kweupe wakiwepo, kwaninj hawakusogeza pua zao. Ile meli vita ya ukraine inapigwa na wanajeshi kuchukuliwa kulepekwa urusi mbona hakupeleka pua zao nk. Urusi sio wa kimchukulia pouwah hao wakubwa wenyewe wanajua hapa tutiishie tu ila akisogeq lweli tukae kimyaaaView attachment 2087052
Wakati crimea inachukuliwa ukraini yupo hakuwa member wa NATO alikuwa kwenye mchakato wa kujiunga kwenye hiyo jumuiya.puttin hawez vamia Ukrain. Pia usisahau kwenye hiyo 90s alichezea kichapo kutoka Gergia ambayo ilikuwa kolonon lake.
 
Mambo yamekuwa moto jana urusi ilituma tena vifaru vingi na makombora ya eskander.shida ya ukrein haina air defense nzuri hapo urusi atapata simple target mbaya zaid ukrein kumejaa majasusi wengi wa urusi
Usisa sahau hata akija kuikalia Ukraini russia Ata suffer milele sababu majority wa ukrain hawaipendi urusi
 
kuifananisha korea kaskazini na utawala wa sadam ama propaganda za six day war kwamtu kama wewe nikutukosea heshma wanajukwaa naunatakiwa utuombe radhi kweli kweli
nashangaa mnaposema nchi fulani bila silaha za nuclear isinge isinge hii kauli samahani yakipumbavu munaitolea wapi??
unahisi hao US bila kutumia atomic against JAPAN wangekuwepo hapa walipo leo hiii
muache kuwapangia watu silaha zakutumia kama US alitumia hata KOREA kama anayo akiona inafaa sisilaha na anayo muache aitumie
umetukosea sana leo MKUU inatakiwa utuombe radhi kwel kwel wanajukwaa wote wahapa ndani unaiongelea KOREA north kama unaiongelea ETHIOPIA ya Ahmed Abey

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
Japan walishaa shindwa sema ingechukua miaka mingi zaid sasa Us walikuwa wanasonga mbele na japan alikuwa anarud nyuma kujirinda.
 
kuifananisha korea kaskazini na utawala wa sadam ama propaganda za six day war kwamtu kama wewe nikutukosea heshma wanajukwaa naunatakiwa utuombe radhi kweli kweli
nashangaa mnaposema nchi fulani bila silaha za nuclear isinge isinge hii kauli samahani yakipumbavu munaitolea wapi??
unahisi hao US bila kutumia atomic against JAPAN wangekuwepo hapa walipo leo hiii
muache kuwapangia watu silaha zakutumia kama US alitumia hata KOREA kama anayo akiona inafaa sisilaha na anayo muache aitumie
umetukosea sana leo MKUU inatakiwa utuombe radhi kwel kwel wanajukwaa wote wahapa ndani unaiongelea KOREA north kama unaiongelea ETHIOPIA ya Ahmed Abey

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
Acha mahaba mkuu hiyo ni fact.ukiacha na Ak47 kuna silah gani ya Urusi ambayo ita ishinda sila ya Us?
 
Ila we ndugu yangu, wote tunasoma tu hapa hakuna aliyewahi kufika uko labda ww wenzangu umefika na kuuona huo umasikini, North Korea waweza ilinganisha na nchi gani labda hapa Afrika? Kama hao North Korea tu wapo jeshini kwetu nasikia tokea enzi za Mwl mpaka leo, ww ndo unakuja kuwabeza, hebu nenda kwenye bucha za nyama jaribu kuangalia zile mashine za kukatia nyama zimetoka wapi? Mashine nyingi utaambiwa za Korea Kaskazini, na wenyewe watumiaji wanakuambia ndio bora zaidi. We haya mambo ya uko yaache siso tuendelee kunawa mikono kwa maji tiritika na sabuni na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya ndugu yangu. Eti Korea uchumi mbovu, Russia uchumi mbovu, nyie watu nani anawadanganya hivi?
Mbona polojo nyingi lete fact mkuu.
 
Acha mahaba mkuu hiyo ni fact.ukiacha na Ak47 kuna silah gani ya Urusi ambayo ita ishinda sila ya Us?
Hivi ndugu yangu plan yenu ya Syria imefanikiwa? Unadhani bila Urusi leo hii Assad angekuwepo ama tungeshamsahau kama Gadaffi? NATO iko kwa ajili ya Tz, NKorea ama China? Unadhani nchi 29 kuungana kwa ajili ya mtu m1 ni swala dogo sio? Tunamchukul8a Urusi poa huku hao wakubwa wakiumiza vichwa kwa ajili yao, isitoshe mpaka sasa shirika lao la ujasusi linafanta vzr zaidi na lina taarifa zao za kina na mipango ya FSB usifanye nao mchezo kabisaa. Kama huyo Uingereza ndo kabisa anyamaze tu, mana huwa anapigwa matukio hapo kwake balaa
 
Ila we ndugu yangu, wote tunasoma tu hapa hakuna aliyewahi kufika uko labda ww wenzangu umefika na kuuona huo umasikini, North Korea waweza ilinganisha na nchi gani labda hapa Afrika? Kama hao North Korea tu wapo jeshini kwetu nasikia tokea enzi za Mwl mpaka leo, ww ndo unakuja kuwabeza, hebu nenda kwenye bucha za nyama jaribu kuangalia zile mashine za kukatia nyama zimetoka wapi? Mashine nyingi utaambiwa za Korea Kaskazini, na wenyewe watumiaji wanakuambia ndio bora zaidi. We haya mambo ya uko yaache siso tuendelee kunawa mikono kwa maji tiritika na sabuni na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya ndugu yangu. Eti Korea uchumi mbovu, Russia uchumi mbovu, nyie watu nani anawadanganya hivi?
Wewe jamaa sijui unatokea wapi. Yani mashine za kukata nyama unaona ni big deal? Na South Africa wanaotengeneza attack helicopter si utawaita miungu watu. North Korea unaenda kufanya nini kwa mfano hebu tueleze.

N. Koreans kuwa hapa sio kitu cha ajabu. It seems huna exposure yani sababu ya kuwaita wana nguvu eti kisa ulionana nao mara wapo tangu enzi za mwalimu, mbona tunao Warundi kibao hapa. Hao tunawaleta kwa vile wana uzoefu na ndege zetu outdated za Mig-21 ambazo bado wanatumia. Ndege za kimaskini ambazo tangu vita ya Iddi Amin tumetumia. Wewe ulitaka tuwalete S. Korea kwa silaha zipi tulizonazo?

Pale South Korea kampuni ya Hyundai inatengeneza meli kubwa zaidi za mizigo duniani HMS Algericas na sister ships zake. Ina urefu wa MITA 400, viwanja vinne vya mpira! Wewe uletewe hiyo meli hapa ili bandari yako ya Dar ibomoke?

Hapo hatujawasema kina Samsung Heavy Industries na wengine. Kasome historia ya vita yawezekana mgeni sana kwenye hili. Majenerali wote wa Japan waliowahi kuishi Marekani kama military attaché au exchange courses kabla ya WW2 wote walidai USA haiwezi shindwa na Japan kwa kuwa ina industrial muscle kubwa. Wale kama wewe walioamini vita inashindwa kwa kukimbiza wanajeshi wakipiga yowe hawakuamini kilichowapata. Ni kipigo kuanzia Philiphines, Vietnam, Marianas, Iwo Jima, Okinawa, Saipan, Coral Seas, Midway. Yani hakuna sehemu Japan walikooa.

Kasome mchango wa viwanda vya Ujerumani uliisaidia kusumbua watu WW2. Yani hawa Volkswagen, BMW, Mercedes Benz wote walikuwa bize kutoa silaha za kusaidia nchi. Kasome kwanini Ujerumani ilizivamia Norway na Denmark ila ikashindwa kuivamia Sweden. Kasome Uingereza ilitoa wapi silaha mpya kama dambuster bombs na hedgehog.

Mkiambiwa jenga viwanda mnanunua cherehani. Kumbe hujui umuhimu wa nguvu za kiuchumi na viwanda kwenye kupigana vita. North Korea nakwambia ajenda ya kiwanda cha mbolea inazunguka mwaka mzima. Hata mwaka mpya huu Kim nimeona anazungumza. South Korea unawahutubia kuhusu kiwanda cha mbolea, si matusi hayo.
 
Hayo mameli sijuibya kubeba ndege nk, mrusi alishakuambia ni uchizi kuwa nayo halafu mtu anakuja na kakitu size ya chupa ya chai ndogo qkidondoshea tu kila kinakwenda na maji, linazama lote, kama hauamini fuatilia mzozo wa US Carrier na SU24 ya mrusi alichowafinyia na huo mcarriee wao ambao ulitakiwa kudetect tokea mbali kina chombo kinakujq, ndege ikaja usawa wa maji mkapa kwenye carrier inanyanyikq na watusi walirudia huo mchezo mara 3. Kuwaonesha kwamba hamna kitu hao pentagon wenu wanawadanganya tu mtakuja kufa majini bulee
 
Nchi qmbayo intelejensia yao iliwafanya dunia nzima mpaka wakubwa huko mbele CNN, BBC, Aljezera nk waamini kwamba kiongozi wao mkubwa kafariki na wakatuaminisha pia kumbe matango pori, leo unawabeza, kama intelejensia ya hao wakubwa ilikua vzr kuzidi Korea Kaskazini nini kiliwafanya washindwe kung'amua kama wanalishwa matango pori? Leo unakuja kusema uchumi wao mbovu, umeteseka na Covid wee, umeshasikia Korea Kaskazini wakiiongele Covid kama ww? Acha kabisa haya mambo ndugu kuyachambua kwa ushabiki, masikini anaweza kutest ICBM kila mara, unajua gharama ya kurusha tu lile kombola la test?
CNN, BBC, Aljazeera ni majeshi ya nchi gani kwamba yana inteligence services inazikutanisha na ya North Korea. Uliiskia official announcement ya serikali yoyote duniani ikisema Rais wa North Korea kafa?

Rais kujificha chumbani kwake sio agenda ya kuwafanya intelligence communities duniani kuhangaika, hiyo haina madhara sana kwao ingawa DPRK ni rogue state. Kufyatua ICBM sio sababu ya kusema wana hela, ni priorities kama ambavyo Magufuli alijenga international airport kwao Chato.

Alafu unasahau kwamba tunalinganisha South vs North Korea. Hatulinganishi na Tanzania nashangaa unatetea kwa kuwalinganisha na sisi. Hapa tunalinganisha South Korea ya 10 kwa uchumi duniani ikiizidi Urusi, dhidi ya North Korea ambayo inazidiwa na South Africa, Misri, Nigeria. Nchi ambayo inapokea msaada wa chakula mara kibao kutoka UN mpaka South Korea wenyewe wanaichangia. North Korea haiwezi kujilisha wakati wa amani sembuse vitani.

Nyie ndio mkiona military parade wanajeshi wamebeba masufuria na magodoro mgongoni mnasema jeshi la nchi XXX ni imara
 
Mzee north korea ina aman gan leo miaka nenda rudi iko kizuizin kwa vikwazo va kimataifa

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
CNN, BBC, Aljazeera ni majeshi ya nchi gani kwamba yana inteligence services inazikutanisha na ya North Korea. Uliiskia official announcement ya serikali yoyote duniani ikisema Rais wa North Korea kafa?

Rais kujificha chumbani kwake sio agenda ya kuwafanya intelligence communities duniani kuhangaika, hiyo haina madhara sana kwao ingawa DPRK ni rogue state. Kufyatua ICBM sio sababu ya kusema wana hela, ni priorities kama ambavyo Magufuli alijenga international airport kwao Chato.

Alafu unasahau kwamba tunalinganisha South vs North Korea. Hatulinganishi na Tanzania nashangaa unatetea kwa kuwalinganisha na sisi. Hapa tunalinganisha South Korea ya 10 kwa uchumi duniani ikiizidi Urusi, dhidi ya North Korea ambayo inazidiwa na South Africa, Misri, Nigeria. Nchi ambayo inapokea msaada wa chakula mara kibao kutoka UN mpaka South Korea wenyewe wanaichangia. North Korea haiwezi kujilisha wakati wa amani sembuse vitani.

Nyie ndio mkiona military parade wanajeshi wamebeba masufuria na magodoro mgongoni mnasema jeshi la nchi XXX ni imara
Unaelewa kwann Korea hizi mbili haziwezi kuungana kamwe? Unajua kama wakubwa ndo hawataki, unakumbuka wakati suluhu inakaribia kupatikana wakalipua nyambizi ya korea kusini na kudai kaskazini ndo kafanya? Ushawahi kujiuliza ni kwann hawataki ziungane? Tafuta jibu
 
Urusi ni Taifa imara anaweza kupambana na Marekani pamoja na washirika wake bila tabu yeyote
Hujui vita wewe, unaongea kama mtoto, inaonekana wakati wa vita vya Kagera ulikuwa hujazaliwa.

Wazungu walimuonya Nyerere kwamba ukishamuondoa adui kwenye ardhi yako baki tu kulinda mpaka usiingie nchini mwake kuendeleza vita lakini Nyerere aliwapuuza na matokeo yake tumeyaona.

Urusi wanafahamu madhara ya vita kwani kwenye WW II zaidi ya wananchi wao milioni 27 walipoteza maisha na uchumi ulisambaratika kabisa.

Urusi na uchumi wake huo wa kutegemea nchi za magharibi sidhani kama atakuwa mjinga kihivyo wa kuanzisha vita. Sidhani.
 
Mbona tunapotezeana muda, kwani Urusi na Marekani hawajawahi kupigana? Syria haikua vita ya watu wawili ile, ama ulitaka wakutangazie kama tuko vitani? Majibu ya Syria ni tosha kabisa kutuambia nani bora? Kama hao NATO wangekua wanauwezo basi Syria wangemng'oa Assad kama Libya, lkn wapi? Acheni porojo hapa za uchumi uchumi, Syria mlisema ivyo ivyo hata weza kukaa mida mrefu ataoandoka na kumwacha Assad nk, wapi mwanaume mpaka leo yupo na kidume kipo madarakani. Nyie midomo yenu ndo humponza ukraine wa watu, watamega ile Luganski tena kama Cremia endeleani kuchonga tu na hamtamfanya chochote zaidi ya vikwazo ambavyo havina madhara kwake hata kidogo zaidi ya kuumia wao wenyewe waweka vikwazo
 
Back
Top Bottom