Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kwahiyo unataka kuniambia Ukraine wameitoa sadaka Crimea? wameshakubali kuwa Crimea sio mali yao tena, Urusi yupo ndani ni kazi ya Ukraine na Nato kumtoa
Mwambie afuatilie aone jinsi Russia alivyodeploy S-400 Crimea za kutosha tayari kuilinda kwa gharama zote!
 
Hakuna vita pale ni kupindisha umma uache kujadili suala la Alexey Navalny na kujaribu upepo wa Joe Biden.
Silaha na wanajeshi wanasogezwa mpakani kupima reaction ya NATO na Biden ni ipi lakini hakuna sababu ya kupigana wala Russia hawawezi anzisha vita kishamba bila sababu.

Vita ya NATO vs Russia lazima Russia apigwe kwa vile atapambana fronts nyingi. Hata Nazi Germany ilikuwa na nguvu ila ikapigwa na allies
 
Kwan urusi amesema kapeleka jesh mpakan ksa crimea? AU hujui knachoendelea mkuu. Mrusi kapeleka jesh mpkan kwa mission nyngn tena akasema anataka achukue ukraine yote na ndo maana jesh la urusi halijaenda kukaa lote pale crimea lipo kwngn kbs tena mpakan uko ndo wanaume wa nato wamemwambia aingie atoke huko mapangon mpakan aingie kama alivyoingia crimea ili wamuwowe mpk dk hz hajatia pua ndani
Mpaka upi tena au hujui Crimea pia ni sehemu ya Ukraine? ahaahahahaa Nato na Ukraine wanajitoa akili sana wamesahau nchi yao
 
Ndio nashangaa hajui kuwa Crimea ni sehemu ya Ukraine, kakaza shingo Urusi aingie mpakani!!
Uelewa wako mkuu upo kshabk kwan jesh la urusi liko wp crimea ambayo tyr wanayo au lipo kwngn huko mpkan ambako nato wamemwambia aingie kama alivyoingia crimea na hajafanya hvyo na lile jesh halijaenda kwaajili ya crimea na ndo maana halipo crimea lipo kwngn. Hayo ma s400 unadhan nato hawayajui hakuna siraha iliyokamilika aslimia zote ye aingie atoke hapo mpakan aingie tuone kelele za crimea zann ye azame maana hayo ma s400, mavifaru , madege yako kwngn huko mpakan ndo wamemwambia ingza jesh tukuwowe
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kwahiyo unataka kuniambia Ukraine wameitoa sadaka Crimea? wameshakubali kuwa Crimea sio mali yao tena, Urusi yupo ndani ni kazi ya Ukraine na Nato kumtoa
crimea itakombolewa tu na hata sasa ukraine hajakubali.
Mnaposema urusi yupo ndan kuptia crimea sjakataa. Nami niwaulze jesh kubwa na vfaa lililopelekwa mpaka mwa ukraine ni lipi au ni la wapi au hakuna jesh mpakan mwa ukraine liktaka ingia ukraine.Kama urusi anayo crimea maana yake yupo ukraine hcho kilchoko mpakan mwa ukraine ni nn si angewapeleka crimea hapo huko alikowapeleka ndo kaambiwa putin ole wako wavuke waingie wataolewa wote na nato. Na ameshaogopa mpk muda huu kwan akikanyaga tu na crimea nayo knanuka mpk irudi
 
Kwan urusi amesema kapeleka jesh mpakan ksa crimea? AU hujui knachoendelea mkuu. Mrusi kapeleka jesh mpkan kwa mission nyngn tena akasema anataka achukue ukraine yote na ndo maana jesh la urusi halijaenda kukaa lote pale crimea lipo kwngn kbs tena mpakan uko ndo wanaume wa nato wamemwambia aingie atoke huko mapangon mpakan aingie kama alivyoingia crimea ili wamuwowe mpk dk hz hajatia pua ndani
Mission yake pale mpakani ni kwa ajili ya kuwalinda, Raia wa Ukraine wanaoongea Kirusi, kule mashariki mwa Ukraine, ametumia ili neno sijui kiswahiliii chake nini
""If Ukraine launches an all -out assault on separatist there "" BBC

Kwahiyo huyo Ukraine na Nato washambulie hao watu halafu waone nini kitafata, halafu mkuu nakuuliza Crimea Ukraine kaitoa sadaka?
 
Uelewa wako mkuu upo kshabk kwan jesh la urusi liko wp crimea ambayo tyr wanayo au lipo kwngn huko mpkan ambako nato wamemwambia aingie kama alivyoingia crimea na hajafanya hvyo na lile jesh halijaenda kwaajili ya crimea na ndo maana halipo crimea lipo kwngn. Hayo ma s400 unadhan nato hawayajui hakuna siraha iliyokamilika aslimia zote ye aingie atoke hapo mpakan aingie tuone kelele za crimea zann ye azame maana hayo ma s400, mavifaru , madege yako kwngn huko mpakan ndo wamemwambia ingza jesh tukuwowe
Crimea ni sehemu ya Ukraine, lakini Urusi kaichukua hao NATO wametoa macho tu, labda nikwambie tu kule Mashariki mwa Ukraine kuna vita ya Serikali na waasi wanaoongea Kirusi, ndio maana Russia kapeleka jeshi mpakan kuwalinda hawa pindi mashambulizi yakiwazidi, sasa mwambie NATO na Ukraine wa washambulie hawa muone , nguvu za Urusi
 
crimea itakombolewa tu na hata sasa ukraine hajakubali.
Mnaposema urusi yupo ndan kuptia crimea sjakataa. Nami niwaulze jesh kubwa na vfaa lililopelekwa mpaka mwa ukraine ni lipi au ni la wapi au hakuna jesh mpakan mwa ukraine liktaka ingia ukraine.Kama urusi anayo crimea maana yake yupo ukraine hcho kilchoko mpakan mwa ukraine ni nn si angewapeleka crimea hapo huko alikowapeleka ndo kaambiwa putin ole wako wavuke waingie wataolewa wote na nato. Na ameshaogopa mpk muda huu kwan akikanyaga tu na crimea nayo knanuka mpk irudi
Yuko mpakan kuwalinda raia wa Ukraine wanaoongea Kirusi, ambao wanapigana vita na serikali kule Mashariki mwa Ukraine, hivyo basi jeshi la Urusi lipo tayari kulinda watu hao pindi watakapo zidiwa, halafu unawaza kukomboa Crimea ipi? maana ata kule mashariki umeshindwa kudhibiti waasi
 
mashariki vita inaendelea lipo? Unataka wazdiwe mara ngapi mpk urusi anapelaka jesh ujue wamezdiwa kwan vita huko mashark haijaanza leo wala jana kabla hata crimea hajatwaliwa kule vita ipo na haitasha kwa vitsho vya urusi ipo inaendelea wala urus shda yake si hao waongea krusi bali shda yake n ya kiusalama zaidi. Ni sawa leo uganda asogeze jesh kagera eti kuwalinda wahaya wanaongea kganda ktakuwa n kchekesho mwambien putin aingze jesh hapo mashariki ndpo wanamsubiri aingze aachane na proxy war ye aingze jesh hapo.
 
Crimea ni sehemu ya Ukraine, lakini Urusi kaichukua hao NATO wametoa macho tu, labda nikwambie tu kule Mashariki mwa Ukraine kuna vita ya Serikali na waasi wanaoongea Kirusi, ndio maana Russia kapeleka jeshi mpakan kuwalinda hawa pindi mashambulizi yakiwazidi, sasa mwambie NATO na Ukraine wa washambulie hawa muone , nguvu za Urusi
kwan ukraine anawashambulia hao waasi au hawashambulii? Kama unasema ukraine na nato tuwambie wawashambulie hao waasi halafu bdo unasema eti pnd wakzdiwa ndo urusi kasogeza jesh sa wazdiweje kama hawashambuliwi, hv unajua hao waasi si wa leo au jana mpk urus kapeleka jesh maana yake wamezdiwa.
Nato hajasema ana shda na hao waasi ye kasema urus aingie hapo naye kushambulia ukraine akpate cha mtema kuni hajathubutu.
 
Ukraina vibonde vya Urusi miaka yote, yaani ni ile kauli ukiolewa usilale na chupi.
Urusi ataingia na kuondoka hawamfanyi chochote.
Hao Nato ni Blaah Blaah tu.
Anacheza Europe anga nzima na mi submarine au ndege za vita na meli za kivita miaka nenda rudi.
Hamna wa kumfanya kitu.
 
hahaa Urusi ana ICBM kumbuka na Marekan haijawahi pigana na nchi yenye ICBM,
Kwa hiyo Urusi ndio anataka kupigana na nchi zenye ICBM?(US,France,UK)?? .Au unfkiri MAD (Mutually Assured Destruction),Russia haielewi hii doctrine?.
Ma pro Russia kuna muda mnajiongeleaga tu bila ku reason :D:D:D
 
mashariki vita inaendelea lipo? Unataka wazdiwe mara ngapi mpk urusi anapelaka jesh ujue wamezdiwa kwan vita huko mashark haijaanza leo wala jana kabla hata crimea hajatwaliwa kule vita ipo na haitasha kwa vitsho vya urusi ipo inaendelea wala urus shda yake si hao waongea krusi bali shda yake n ya kiusalama zaidi. Ni sawa leo uganda asogeze jesh kagera eti kuwalinda wahaya wanaongea kganda ktakuwa n kchekesho mwambien putin aingze jesh hapo mashariki ndpo wanamsubiri aingze aachane na proxy war ye aingze jesh hapo.
Eheeeeeee hivi hiki nilichoandika hapa hakijaeleweka , Vita kule mashariki ipo na waasi wanakwenda vizuri sanaaaaaaa walichosema Urusi ili waingize jeshi pale ,Ukraine na washirika wake wafanye hivi nanukuu"IF Ukraine launches an all -out assault on separatist there"" mwisho wa kunuu, sasa wafanye hivyo waone, Russia hana Pressure kwasababu tayari alishaonyesha umwamba kuichukua Crimea, nashangaa unavyowasifia kunguru hao Nato
 
kwan ukraine anawashambulia hao waasi au hawashambulii? Kama unasema ukraine na nato tuwambie wawashambulie hao waasi halafu bdo unasema eti pnd wakzdiwa ndo urusi kasogeza jesh sa wazdiweje kama hawashambuliwi, hv unajua hao waasi si wa leo au jana mpk urus kapeleka jesh maana yake wamezdiwa.
Nato hajasema ana shda na hao waasi ye kasema urus aingie hapo naye kushambulia ukraine akpate cha mtema kuni hajathubutu.
Wana shambuliana, kule na kwa taarifaaa yako walishaingia mkataba wa kusitisha mapigano,lakini wapi, Ukraine na Nato wanapiga kelele tu , Russia Yuko pale kwa ajili ya waasi kuwasaidia sasa kama mnataka kujua anatania au atania wamalizeni wale waasi, Russia kachukua Crimea bado anachafua kule Mashariki badala ya kuchukua hatua unakaa unamsubiri aje tena, halafu unajisifu eti una jeshi imara, hivi ni vichekesho
 
Kwan urusi amesema kapeleka jesh mpakan ksa crimea? AU hujui knachoendelea mkuu. Mrusi kapeleka jesh mpkan kwa mission nyngn tena akasema anataka achukue ukraine yote na ndo maana jesh la urusi halijaenda kukaa lote pale crimea lipo kwngn kbs tena mpakan uko ndo wanaume wa nato wamemwambia aingie atoke huko mapangon mpakan aingie kama alivyoingia crimea ili wamuwowe mpk dk hz hajatia pua ndani
We jamaa muongo mnooooo
 
Urusi ni Taifa imara anaweza kupambana na Marekani pamoja na washirika wake bila tabu yeyote
Acha kuota.... Ndo aingia huko Ukraine aone safari hii wamemuamulia kashazungukwa kila eneo..... Vita inahitaji hela na uchumi mkubwa ulii imara.....nakuakikishia urusi hatii mguu Ukraine safari hii
 
Back
Top Bottom