Uwezekano wa mimba moja ya baba tofauti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwezekano wa mimba moja ya baba tofauti

Discussion in 'JF Doctor' started by meningitis, Nov 30, 2010.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Ingawa sio common sana kuna uwezekano wa mama kuzaa mapacha ambao baba zao ni tofauti.hii huitwa heteropaternal supefecundation.

  Hutokea iwapo mama huyo atashiriki tendo la ndoa na wanaume wawili tofauti ndani ya muda mfupi baada ya ovulation.

  source; www.associatedcontent.comheteropaternal superfecundation

  Usishangae kati ya mapacha wako moja ni mwarabu mwengine mweusi tii, muulize vizuri mkeo.

  =============================================
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  Hii kali lol
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hata mimi niliwahi kuhisi hili jambo nikaambiwa kuwa ni kitu kisichowezekana
   
 4. m

  mams JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Safi, kila baba anapewa mtoto wake
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Duh wamama ni noma!:hail:
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna umuhimu kuthibitisha undugu kwa kuangalia vinasaba
   
 7. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  It's Possible, Kwa baadhi ya wanawake japo sio wote ambao kila ovary inatoa OVUM kwa muda tofauti mfano wiki moja baada ya ovom ya kwanza kutoka, So anaweza kumeet na mwanaume mmoja akarutubisha one ovum kisha maybe after 4 day or say 5 akameet na mwingine ae akawa na bahati ya kufertilize the next one. So hpo atakuwa ameconceive fratenal twin ila kila mmoja akawa na different genetic material hali itakayothibitisha babayao sio mmoja. hiyo imeshatokea kwa mama mmoja kuzaa watoto wa RACE tofauti kwamfano mtoto mzungu na Mwarabu wakati yeye ni Mmatumbi.
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  na kama mapacha hawafanani/kushabihiana kabisa though wana same sex?
   
 9. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Du! Nlikuwa cjui
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  imewahi kukutokea nini?
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Yangenitokea ningeuliza?
   
 12. Ed n Edd nEddy

  Ed n Edd nEddy JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2015
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 4,458
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  Leo nimepokea ujumbe wa maandishi kwenye simu (katika group) ambao ulitufanye tubishane kwa muda kidogo,

  KWA TAARIFA YAKO:
  Mwanamke huweza kuzaa MAPACHA wa BABA TOFAUTI. Hii ni kwasababu mayai mawili huweza kutoka kwa wakati mmoja lakini kila moja likachavushwa na mwanaue tofauti.
  Source: Mwananchi (facebook page)

  Siku zote huwa najua kuna monozygotic (identical) na dizygotic (fraternal), ila hapa nahitaji tuzungumzie sana fraternal ambao huzaliwa na mama mmoja lakini baba tofauti (katika pita pita mitandaoni kwa technical term huuitwa "heteropaternal superfecundation.").

  Kwakua Biology nilikimbia ikabidi nijiridhishe mitandaoni

  Ambapo kwa mara ya kwanza case iliripotiwa na John Archer — daktari wa kwanza kupata medical degree in the United States — 1810 ambapo anadai mzungu (white woman) alishiriki mapenzi na mzungu (white man) na mtu mweusi (black man) kwa muda mfupi ambapo baadaye alizaa one white, the other of mixed race.

  Hii nimeitoa babycenter.com

  When we see twins, we may assume that both eggs were fertilized during a single act of intercourse. But it's quite possible for one egg to be fertilized during one act of intercourse, and the other during another. For example, consider a couple that has a morning quickie, followed by a more leisurely round that evening.
  It's only logical, then, that when a woman has sex with more than one man while she's fertile, "heteropaternal superfecundation" can occur. That egg be fertilized by a different father.

  Hawa walikiri kukutwa na hichi kitu ingawa kiliwastua

  Mum Charlotte Hilbrandt became pregnant by ex-husband Michael AND new boyfriend Tommy when she slept with both men within 48 hours. Hii iliandikwa na dailynews na the guardian


  Huyu kutoka Texas

  But that's what she got — along with two beautiful boys — when she gave birth to twins of different fathers nearly a year ago.
  "Both of them have similar appetites. They like to play with their older brothers. They like to play with each other," Mia Washington told the TODAY show Thursday - Hii nimeitoa today.com by Gerard DeMarco

  Yawezekana wapo ambao walikua hawajui kama mimi ama waliwahi sikia lakini wakabisha kabisa kuwa haiwezekani wanawezajiridhisha. Huku wataalamu wa mambo haya wakitufafanulia zaidi.
   

  Attached Files:

 13. contagious

  contagious JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 519
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 80
  Yes inatokea
   
 14. Peace92

  Peace92 JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 16, 2013
  Messages: 249
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  jaman naombeni maujanja ya kupata mapacha bac
   
Loading...