Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

" Chakuzingatia tu, wakati huo (2020) kuna uwezekano baadhi ya watu hatutakuwa nao, kimwili au kisiasa, akiwemo Magufuli mwenyewe. Hapa ndipo namuona Lowassa akiibuka tena."

Sitashangaa ukitumiwa vijana uwaeleze ni vipi Magufuli hatokuwepo kimwili ama kisiasa come 2020

Kwa hiyo kuna ambao hawatakuwepo ila Lowasa yeye atakuwepo ? Huu uhakika umeutoa wapi ?

Wacha niweke akiba ya maneno tutaonana Nov 2020 kama na mimi nitabahatika kuwa hai.
mkuu ulibahatika kuwa hai?!
 
Maweee
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
 
Nikisoma hii comment yako kwa hakika naamini kutangulia sio kufika, yu wapi yule uliye amini hayupo ICU na yu wapi uliye amini yupo ICU
 
Back
Top Bottom