Uwezekano wa kupata nafasi ya A Level kwa shule zenye ada nafuu Dar

De cruz

Member
Oct 29, 2020
5
0
Hivi kuna uwezekano wa kupata nafasi za masomo A level kwa shule za dar es salaam ambazo zina ada nafuu kwa wanafunzi wa day na kama itakuwepo nahitaj kuzifahamu
 
Kwa advance shule zenye ada nafuu ni za serikali ila za watu binafsi ukilata hazinamatokeo wala historia nzuri

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom