Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,607
- 6,496
Kisimiri haipo jiji la Arusha bali mkoa wa Arusha nafikiri wilaya ni Arumeru, ni kijijini.
Pale kuna upepo na baridi grade A, miundombinu ni kama shule za kata tu kwasababu ilikuwa kata kabla hawajapeleka advance pale.
Ile shule ufaulu wa wanafunzi ni kutokana na uwezo na jitihada binafsi sio kwamba mazingira ya kujifunzia ni rafiki