Uwezekano wa kufanyika uchaguzi October ni mdogo sana

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,094
4,251
Kutokana na kashfa kubwa ya Escrow kuitafuna Serikali na Vigogo wengi kuhusika mfupa huu ni mgumu sana Kwa Jk kuumeza :mosi JK hatokubali tena Serikali ianguke mikononi mwake na kwa kuwa muda wake wa kukaa madarakani umefikia kikomo,Kitakachofanyika ripoti haitasomwa kwa zengwe la mahakama na hiyo moja kwa moja itasababisha Mizengo Pinda kukosa makali ya kuwa Waziri mkuu na wengi wa wasaidizi wake hasa mawaziri watakuwa wazito kupokea maelekezo toka kwake .kitakachofuata ni Ripoti ya Daktari itakayomwelekeza Rais apumzike kutokana na Afya yake na yeye ataomba bunge liridhie na madaraka yake yatakaimishwa kwa makamu wa Rais na hapo ndipo utaratibu wa kisheria unasema miezi 3 baada ya hapo ni uchaguzi mkuu .mtaniona mzushi lakini hakika nawaambia mtanipigia salute
 
Sawa. una uhuru na haki ya kusema chochote. binafsi sioni tatizo lolote hapa. ni mtazamo wako.
 
Mmmmmhh haka kama kana kaukweli, hebu ngoja SAA kumi na moja ifike

kikwete kamwe hawezi kukubali Pinda aanguke uliona wapi Rais mmoja mawaziri wakuu watatu miaka kumi .lazima yeye ajiwajibishe kwa aina ya kipekee .hata kama ripoti itasomwa Pinda hatojiuzuru mkuu wa nchi safari hii anakwenda under medical grounds .CCm imepasuka na hii ndiyo dawa pekee ya mabadiliko katika inchi hii tofauti na hapo tusitarajie mabadiliko bila CCM kuchanika viponde vipande
 
id yenyewe ni mzushi, hata hayo maneno umeyazusha tuuu
badala ya kumwombe raisi apone haraka aje kwenye kazi yake
wewe unazuaaa tu hapa hebu jizushie mwenyewe tuone kama
hautatulia au nawe ni mmmojawapo
 
Duniani hakuna mtazamo. Duniani kuna UKWELI na UONGO. Kama amesema kweli kubaliana naye. Kama amesema uongo thibitisha UKWELI.
Hii ni hesabu rahisi sana JK hawezi tena kukubali serikali ianguke na atakuwa kiongozi wa hovyo kabisa akikubali hili litokee utakuwa msalaba mkubwa sana kwake ,Kinana alishakuwa mwiba kwa upinzania sakata Escrow ni kama anatakiwa kuanza upya ,kwa kifupi kila kitu kipo zigizaga hakuna mtu wa kufungia nyau kengele, Afya tu ndiyo karata ya mwisho ya JK apumzike akwepe vikombe vya Escrow na katiba mpya maana hiyo nayo anajua Zanzibar lazima itabuma tu kwenye kura za maoni
 
id yenyewe ni mzushi, hata hayo maneno umeyazusha tuuu
badala ya kumwombe raisi apone haraka aje kwenye kazi yake
wewe unazuaaa tu hapa hebu jizushie mwenyewe tuone kama
hautatulia au nawe ni mmmojawapo

Nani aliyekuambia simwombei,nimemfungia novena apone haraka aje akabidhi nchi kwa wenye uchungu nayo
 
ndugu yangu nchi imeshaoza hii na viongozi wenyeewe washaoza kabisa hakuna chochote hapa tunadanganywa tu wananchi
Nani aliyekuambia simwombei,nimemfungia novena apone haraka aje akabidhi nchi kwa wenye uchungu nayo
 
Kutokana na kashfa kubwa ya Escrow kuitafuna Serikali na Vigogo wengi kuhusika mfupa huu ni mgumu sana Kwa Jk kuumeza :mosi JK hatokubali tena Serikali ianguke mikononi mwake na kwa kuwa muda wake wa kukaa madarakani umefikia kikomo,Kitakachofanyika ripoti haitasomwa kwa zengwe la mahakama na hiyo moja kwa moja itasababisha Mizengo Pinda kukosa makali ya kuwa Waziri mkuu na wengi wa wasaidizi wake hasa mawaziri watakuwa wazito kupokea maelekezo toka kwake .kitakachofuata ni Ripoti ya Daktari itakayomwelekeza Rais apumzike kutokana na Afya yake na yeye ataomba bunge liridhie na madaraka yake yatakaimishwa kwa makamu wa Rais na hapo ndipo utaratibu wa kisheria unasema miezi 3 baada ya hapo ni uchaguzi mkuu .mtaniona mzushi lakini hakika nawaambia mtanipigia salute

jakaya huyu huyu ninae mjua mimi aachie madaraka kirahisi hivyo? thubuuuuutuuuuuu !!!!!
 
id yenyewe ni mzushi, hata hayo maneno umeyazusha tuuu
badala ya kumwombe raisi apone haraka aje kwenye kazi yake
wewe unazuaaa tu hapa hebu jizushie mwenyewe tuone kama
hautatulia au nawe ni mmmojawapo

Kimsingi hatuna rais, tezi dume kitu gani? Prof Lema mbona anafanyia hapo muhimbili na kesho yake wanarudi makwao na kurejea baadaye kuondoa nyuzi? Niseme tu kwamba jk ni mhuni na serekali ni ya kihuni huni tu.
 
jakaya huyu huyu ninae mjua mimi aachie madaraka kirahisi hivyo? thubuuuuutuuuuuu !!!!!

mkuu haachii bali nature itamlazimisha kukubali matokeo .pilau tamu uilie kwenye AMANI lakini VITANI kamwe haiwezi kuwa tamu lazima uione chungu kama shubiri.sasa huku Esrcow ,kule katiba mpya wahisani nao wameshakaba plus tezi dume inamwandama ,sasa utamu wa magogoni upo wapi hapo .atakwenda tu safari hii we subiri uone ndugu
 
kikwete kamwe hawezi kukubali Pinda aanguke uliona wapi Rais mmoja mawaziri wakuu watatu miaka kumi .lazima yeye ajiwajibishe kwa aina ya kipekee .hata kama ripoti itasomwa Pinda hatojiuzuru mkuu wa nchi safari hii anakwenda under medical grounds .CCm imepasuka na hii ndiyo dawa pekee ya mabadiliko katika inchi hii tofauti na hapo tusitarajie mabadiliko bila CCM kuchanika viponde vipande

Kama aling'atuka rafikiye ambaye hawakukutana barabarani itakuwa Pinda mkuu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom