BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,607
- 12,291
Nipo najaribu kutafakari nawezaje kufanikiwa from nothing yaani ile zero to something nakosa majibu wakati Mimi nakosa majibu Kuna mtu anatoa ushuhuda wa kuanza na biashara ya mtaji wa elfu kumi mpaka kufanikiwa kumiliki biashara ya mamilioni inawezekanaje wakuu.?