Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona tunalopitia hivi sasa mwanzoni mwa mwaka 2019 kulikua kuna matukio mbalimbali ya Ugaidi yaliyokua yanajitokeza katika pande mbalimbali za Africa. Ukiachana na nchi kama Mali, Burkina Faso na Libya ambazo zipo mbali kidogo na ukanda huu wa Africa Mashariki , kuna nchi katika upande wa Afrika Mashariki ambazo zina chembechembe za Ugaidi.

Inajulikana kua Tanzania ilikua moja ya nchi ambazo zilitoa au “kurecruit” wanamgambo wa Al Shabab kule Somalia. Mikoa iliyoongoza kutoa wanamgambo wengi ni Tanga, Mwanza na Dar es Salaam. Katika kipindi kile tulishuhudia kijana wa Kitanzania akihusishwa na mashambulizi ya Garissa. Kijana mstaarab alieyetoka katika familia ya kitajiri ya MBERESERO. Naam nipende kushukuru jeshi la Polisi kipindi kile wakishirikiana na Intelligency kupambana na janga lile sanasana ningependa kumshukuru DCI wa kipindi kile CP Diwani Athumani.

Ukiachana na hayo, mwanzoni mwa mwaka 2020 kuna matukio mengi ya Kigaidi yalikua yanatokea saana katika ukanda wa Afrika ya mashariki pamoja na Kusini , specifically nchini Msumbiji (Mozambique) pamoja na Kenya. Hii inatokana na uwepo wa makundi ya Waislam wenye Itikadi kali za Salafi.

Hii inaleta picha mpaka kule Africa ya Kati ambapo mpaka saiv bado kuna kavuguvugu ka udini kanatawala baina ya “Seleka” na “Anti Balaqa”. Makundi ya Salafi yaliyopo Mozambique yanafanya harakat zake karibia na mpaka wa nch iyetu ya Tanzania na hivo bas kuhatarisha usalama wa Raia kwa ujumla. Hofu yangu kubwa ni kuona baadhi ya Vijana wa Kiislamu kushawishika kuingia katika makundi hayo ya kigaidi kama ilivyotokea miaka iliyopita kule Somalia.

Hivyo bas vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa kuzingatia hayo mambo yasijurudie tena. Bado tunahitaj nguvu kazi katika Taifa letu na hivyo bas VIjana wakiiIslam tusishwawishike katika kuyaendea hayo mambo. Mikoa iliyo hatarini zaidi ni ile iliyopo kusini ikiwemo LIndi na Mtwara na ni mikoa ambayo Idadi ya wakazi wengi wao ni waislam .

Na kwa jinsi Serikali ilivyofocus kwenye suala la Corona unawapa muda zaidi kujipanga na kuandaa mikakati madhubuti. Sitoshangaa baada ya kuisha kwa Janga la Corona, janga la Ugaidi kuchkua nafas kama vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama havitatilia mkazo dalili hizi.

ABDULKARIM MZEE

Mwanadiplomasia na Mchambuzi wa Masuala ya Ugaidi katika bara la Afrika

rucotz98@gmail.com
 
Attachments

  • Screenshot_20200807-233343_Facebook.jpg
    Screenshot_20200807-233343_Facebook.jpg
    105 KB · Views: 1
Thibitisha simulizi lako hili ,kwani mimi ni salafi na sina habari na hayo uyasemayo.
Lakini pili sijawahipo sikia Tanzania kuwa na Kambi za kufunza magaidi,ulikuwa uvumi ambao haukuweza kuthibitishwa,
Labda wewe leo unaweza kutuwejkea ushahidi wa kutosha ili umma upate kujuwa ukweli wote ,isije kuwa ni propaganda.
Hata mimi leo nigeweza kusema kuwa Tanzania Ongezeko la Madhehebu ya Kilokole yenye kuleta maafa kama kule Arusha hivikaribuni yamekuwa mengi na yanatishia amani ya Taifa sijui ungelisemaje?
Una habari za Kibiti?
 
Hivyo bas vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa kuzingatia hayo mambo yasijurudie tena
Njooni tu, tutawainesha njia ya kwenda kufaidi bikra 700.
Tanga tuliwapeleka
Mkuranga/kibiti tuliwapeleka,
Mtwara tuliwapeleka,
Mwanza tuliwapeleka....................... sasa hivi wanaendelea kuburudika na bikra 700
 
Ugaidi tena ukiingia hapa kwetu, watafanikiwa sana ku recruit sio waislamu tu hata wa dini nyingine,it all about money and we poor,others are eating good others are starving.Unadhani itakuwa ngumu kujilipua katika mechi ya wapinzani wa jadi kwa kijana aliechoka kabisa na kuichukia jamii?
Wasio waislam hawana mafundisho hayo
 
Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona tunalopitia hivi sasa mwanzoni mwa mwaka 2019 kulikua kuna matukio mbalimbali ya Ugaidi yaliyokua yanajitokeza katika pande mbalimbali za Africa. Ukiachana na nchi kama Mali, Burkina Faso na Libya ambazo zipo mbali kidogo na ukanda huu wa Africa Mashariki , kuna nchi katika upande wa Afrika Mashariki ambazo zina chembechembe za Ugaidi.

Inajulikana kua Tanzania ilikua moja ya nchi ambazo zilitoa au “kurecruit” wanamgambo wa Al Shabab kule Somalia. Mikoa iliyoongoza kutoa wanamgambo wengi ni Tanga, Mwanza na Dar es Salaam. Katika kipindi kile tulishuhudia kijana wa Kitanzania akihusishwa na mashambulizi ya Garissa. Kijana mstaarab alieyetoka katika familia ya kitajiri ya MBERESERO. Naam nipende kushukuru jeshi la Polisi kipindi kile wakishirikiana na Intelligency kupambana na janga lile sanasana ningependa kumshukuru DCI wa kipindi kile CP Diwani Athumani.

Ukiachana na hayo, mwanzoni mwa mwaka 2020 kuna matukio mengi ya Kigaidi yalikua yanatokea saana katika ukanda wa Afrika ya mashariki pamoja na Kusini , specifically nchini Msumbiji (Mozambique) pamoja na Kenya. Hii inatokana na uwepo wa makundi ya Waislam wenye Itikadi kali za Salafi.

Hii inaleta picha mpaka kule Africa ya Kati ambapo mpaka saiv bado kuna kavuguvugu ka udini kanatawala baina ya “Seleka” na “Anti Balaqa”. Makundi ya Salafi yaliyopo Mozambique yanafanya harakat zake karibia na mpaka wa nch iyetu ya Tanzania na hivo bas kuhatarisha usalama wa Raia kwa ujumla. Hofu yangu kubwa ni kuona baadhi ya Vijana wa Kiislamu kushawishika kuingia katika makundi hayo ya kigaidi kama ilivyotokea miaka iliyopita kule Somalia.

Hivyo bas vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa kuzingatia hayo mambo yasijurudie tena. Bado tunahitaj nguvu kazi katika Taifa letu na hivyo bas VIjana wakiiIslam tusishwawishike katika kuyaendea hayo mambo. Mikoa iliyo hatarini zaidi ni ile iliyopo kusini ikiwemo LIndi na Mtwara na ni mikoa ambayo Idadi ya wakazi wengi wao ni waislam .

Na kwa jinsi Serikali ilivyofocus kwenye suala la Corona unawapa muda zaidi kujipanga na kuandaa mikakati madhubuti. Sitoshangaa baada ya kuisha kwa Janga la Corona, janga la Ugaidi kuchkua nafas kama vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama havitatilia mkazo dalili hizi.

ABDULKARIM MZEE

Mwanadiplomasia na Mchambuzi wa Masuala ya Ugaidi katika bara la Afrika

rucotz98@gmail.com
Daaah!!
Uliona mbali sana kaka,hawa wadau waliokukebehi humu inabidi waje kuomba radhi sasa.
 
Mtoa mada kakosea kuaddress title na baadhi ya maudhui hususan kwa kutumia neno SALAFI kuwazungumzia Khawarij(Ikhwaan Muslimun, Muslim Brotherhood, Al Shabab, ISIS, Al Qaeda etc)

Salafiy n itikadi ya kisunnah kufuata misingi sahihi ya dini kiislam kwa kuwaiga waja wema waliotangulia (Maswahiba na waliwafuatia maswahaba) pasipo kumpinga mtawala (haijalishi n wa dini gani au kapatikana vipi) au kuleta fujo au maandamano yenye maudhui ya kiharakati kisiasa au mfano wake.

Salafiy wanawapinga khawarij (Mbwa wa motoni) mfano wa hao nilioainisha. Hivyo mtoa mada kama alikuwa anamaanisha hao wanaharakati na wanamgambo wanojinasibisha na jihad zisizoegema katka misingi ya dini amepotoka kutumia neno SALAFIY.

Dawa ya kisalafi inahubir zaid katika elimu sahihi ya dini na kuweka msisitizo wa kuisoma dini kutoka kwa watu wsio na makando kando, ipo mbali kabisa na makundi ya kigaid au ya kiharakati.

Rejea mahubiri ya Sheikh Qassim Maftah na Abu Nufayda Hussein Semba wa Markaz Pongwe-Tanga, rejea pia mahubir ya Sheikh Abdallah Humeid al Hazramy wa Mombasa ....
 
Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona tunalopitia hivi sasa mwanzoni mwa mwaka 2019 kulikua kuna matukio mbalimbali ya Ugaidi yaliyokua yanajitokeza katika pande mbalimbali za Africa. Ukiachana na nchi kama Mali, Burkina Faso na Libya ambazo zipo mbali kidogo na ukanda huu wa Africa Mashariki , kuna nchi katika upande wa Afrika Mashariki ambazo zina chembechembe za Ugaidi.

Inajulikana kua Tanzania ilikua moja ya nchi ambazo zilitoa au “kurecruit” wanamgambo wa Al Shabab kule Somalia. Mikoa iliyoongoza kutoa wanamgambo wengi ni Tanga, Mwanza na Dar es Salaam. Katika kipindi kile tulishuhudia kijana wa Kitanzania akihusishwa na mashambulizi ya Garissa. Kijana mstaarab alieyetoka katika familia ya kitajiri ya MBERESERO. Naam nipende kushukuru jeshi la Polisi kipindi kile wakishirikiana na Intelligency kupambana na janga lile sanasana ningependa kumshukuru DCI wa kipindi kile CP Diwani Athumani.

Ukiachana na hayo, mwanzoni mwa mwaka 2020 kuna matukio mengi ya Kigaidi yalikua yanatokea saana katika ukanda wa Afrika ya mashariki pamoja na Kusini , specifically nchini Msumbiji (Mozambique) pamoja na Kenya. Hii inatokana na uwepo wa makundi ya Waislam wenye Itikadi kali za Salafi.

Hii inaleta picha mpaka kule Africa ya Kati ambapo mpaka saiv bado kuna kavuguvugu ka udini kanatawala baina ya “Seleka” na “Anti Balaqa”. Makundi ya Salafi yaliyopo Mozambique yanafanya harakat zake karibia na mpaka wa nch iyetu ya Tanzania na hivo bas kuhatarisha usalama wa Raia kwa ujumla. Hofu yangu kubwa ni kuona baadhi ya Vijana wa Kiislamu kushawishika kuingia katika makundi hayo ya kigaidi kama ilivyotokea miaka iliyopita kule Somalia.

Hivyo bas vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa kuzingatia hayo mambo yasijurudie tena. Bado tunahitaj nguvu kazi katika Taifa letu na hivyo bas VIjana wakiiIslam tusishwawishike katika kuyaendea hayo mambo. Mikoa iliyo hatarini zaidi ni ile iliyopo kusini ikiwemo LIndi na Mtwara na ni mikoa ambayo Idadi ya wakazi wengi wao ni waislam .

Na kwa jinsi Serikali ilivyofocus kwenye suala la Corona unawapa muda zaidi kujipanga na kuandaa mikakati madhubuti. Sitoshangaa baada ya kuisha kwa Janga la Corona, janga la Ugaidi kuchkua nafas kama vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama havitatilia mkazo dalili hizi.

ABDULKARIM MZEE

Mwanadiplomasia na Mchambuzi wa Masuala ya Ugaidi katika bara la Afrika

rucotz98@gmail.com

Ni miezi sasa imepita toka nitoe chapisho langu mnamo mwezi wa nne mwaka huu 2020 kuhusiana na dalili za kuenea kwa Salafi Jihadi nchini Tanzania.

Chapisho langu la mwez wa nne lilileta picha tofauti tofauti kulingana na aina ya wasomi na wachambuzi wengine na huku baadhi ya wananchi wakinishitumu kua napoteza uma kwa kutoa taarifa ambazo sina uhakika nazo. Hizo ni shutuma moja wapo ambazo watu wengi walinishtumu wengine wakanitafuta kwenye email yangu na kunambia kua niache kuwatia hofu watanzania na kua hamna kitu kama hicho. Mnamo miezi hii ya karibuni Inspekta Jenerali wa jeshi la polisi Simon Sirro alithibitisha kutokea kwa vurugu na mauaji huko maeneo ya Mtwara karibia na mpaka wa Msumbiji. Na pia kuna video mbalimbali zilikua zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha magaidi hao wakiteketeza majengo na pia mmoja akionyeshwa akichinja mtu huku wakipiga Takbir. Naam walikua wanongea Kiswahili safi saana na hicho pia kinapelekea kufanya conclusion kua Salafi Johadi imeshaanza kuenea nchini Tanzania.

CHANZO CHAKE NI NINI?

Kutokana na hali ya sintofaham inayoendelea nchini Msumbiji haswa kwenye Jimbo la Cabo Delgado inaonyesha dhahiri kwamba tayar kundi hili limejizatiti kwenye kingo hizo za Msumbiji ambapo kuna neema ya kua ni moja ya kanda zenye malighafi ya Gesi. Lakini chimbuko lake linatokea Africa Magharib na kaskazini mwa jangwa la Sahara nchini Libya , kuelekea Mali hadi Niger na mtandao unazidi kushuka chini mpaka kufikia Nchini Afrika ya kati( Central Africa Republic) mapaka kufikia msumbiji na kuanza kupanda juu yaani Tanzania , Kenya mpaka Somalia kwa wenyeji wao Al Shabaab

JE WALIOTEKELEZA SHAMBULIO HILO NI AL SHABAAB AU IS AU AL QAEDA?

Naam,baada ya shambulizi hilo la Mtwara kundi la kigaidi la IS (Islamic State) walitangaza kuhusika na tukio hilo. Japo tunajua kua IS na Al Shabaab wamekua hawapo sawa ki mtazamo ambapo maskundi haya kwa nyakati tofauti wamekua wakipigana wenyewe kwa wenyewe lakin hali iliyopo Capo Delgado inaonyesha yhaya makundi ya kigaidi yanafanya kazi ushirikiano japokua yapo tofauti kwa sababu yana adui mmoja tu.

Lakin tukio la ugaidi Mtwara kidogo lilileta sintofaham kweneye kundi la IS linalofanya kazi katika ukanda wa Africa. Taarifa nlizozipata za SIRI ni kua IS hakutaka kufanaya tukio hilo kwa mda ule husika. Japokua walikua wanataka kufanya shambulio hilo lakin lilipangwa lifanyike mda mwengine kwa kua rasilimali fedha hazikuwepo. Cha kushangaza walipata ujumbe kwamba kuna muumin kajitolea kutoa fedha ilimradi kukamilisha shambulio hilo lifanyike Mtwara. Kaa tukumbukeni kwamba kipindi kile kilikua cha kampeni zinaelekea ukingoni na chama cha CCM kilikua kina malizia kampeni zake katika ukanda wa kusini mwa Tanzania.

Taarifa za Ndan za IS zinasema kua shambulio hilo lilipangwa kufanyika kwa mshtukizo bila kurecord kitu chochote ila cha kushangaza video zilichukuliwa na huku wakilenga kua wanataka kuangusha Utawala wa Mh Rais Magufuli na huku wakichana machapisho ya kampeni. Hili halikua katika mpango wa IS, je nani alishinikiza? Jambo la pili ambalo lilizua tafrani ndani ya IS ni kitendo cha magaidi wale kuonekana wanachinja maiti jambo ambalo ni haram kwa mujahideen yeyote kulifanya. Hata wale wenye elimu ndogo ya UIslam tunaonyeshwa baada ya Vita ya Badr , Hamzah(r.a) maiti yake ilikatwa na bi Hind na Maswahaba wa Mtume(saw) walikasirika saana hadi katika vita vya Uhud baada ya ushindi wakataka kulipiza kukata maiti za maadui lkni Mtume(saw) alikataa katakata kwa kua lilikua ni jambo baya na si la kiislam.

Je magaidi walioshambulia mtwara ni waismamu kweli? Je wana uelewa wa Uislam? Je kama kiongoz wa IS Afrika alihuzunishwa na kitendo hicho ni akina nan walishinikiza hilo? Je magaidi wale walikua na lengo gani?

………………………………………………………….

Abdulkarim H Mzee

Mchambuzi wa Ugaidi Barani Africa

Ndugu Abdulkarim, umeishia ulipotakiwa kuanza. Maswali uliyouliza ndio ulitakiwa kutoa majibu ili kuleta maana ya hili chapisho lako la pili. Mimi ni moja ya watu wanapenda kujua kwa uwanda mpana tahadhari kama hizi kila zitolewapo. Itapendeza ukienda mbali zaidi kutuhabarisha... Shukrani
 
Habari ndugu, naendelea na uchunguzi wa jambo hili kiundani zaidi kuhusiana na wahusika wengine kiundani zaidi kwa sababu kuna uhusika wa sababu nyengine ambazo zipo nyuma ya kivuli cha ugaidi
 
Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona tunalopitia hivi sasa mwanzoni mwa mwaka 2019 kulikua kuna matukio mbalimbali ya Ugaidi yaliyokua yanajitokeza katika pande mbalimbali za Africa. Ukiachana na nchi kama Mali, Burkina Faso na Libya ambazo zipo mbali kidogo na ukanda huu wa Africa Mashariki , kuna nchi katika upande wa Afrika Mashariki ambazo zina chembechembe za Ugaidi.

Inajulikana kua Tanzania ilikua moja ya nchi ambazo zilitoa au “kurecruit” wanamgambo wa Al Shabab kule Somalia. Mikoa iliyoongoza kutoa wanamgambo wengi ni Tanga, Mwanza na Dar es Salaam. Katika kipindi kile tulishuhudia kijana wa Kitanzania akihusishwa na mashambulizi ya Garissa. Kijana mstaarab alieyetoka katika familia ya kitajiri ya MBERESERO. Naam nipende kushukuru jeshi la Polisi kipindi kile wakishirikiana na Intelligency kupambana na janga lile sanasana ningependa kumshukuru DCI wa kipindi kile CP Diwani Athumani.

Ukiachana na hayo, mwanzoni mwa mwaka 2020 kuna matukio mengi ya Kigaidi yalikua yanatokea saana katika ukanda wa Afrika ya mashariki pamoja na Kusini , specifically nchini Msumbiji (Mozambique) pamoja na Kenya. Hii inatokana na uwepo wa makundi ya Waislam wenye Itikadi kali za Salafi.

Hii inaleta picha mpaka kule Africa ya Kati ambapo mpaka saiv bado kuna kavuguvugu ka udini kanatawala baina ya “Seleka” na “Anti Balaqa”. Makundi ya Salafi yaliyopo Mozambique yanafanya harakat zake karibia na mpaka wa nch iyetu ya Tanzania na hivo bas kuhatarisha usalama wa Raia kwa ujumla. Hofu yangu kubwa ni kuona baadhi ya Vijana wa Kiislamu kushawishika kuingia katika makundi hayo ya kigaidi kama ilivyotokea miaka iliyopita kule Somalia.

Hivyo bas vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa kuzingatia hayo mambo yasijurudie tena. Bado tunahitaj nguvu kazi katika Taifa letu na hivyo bas VIjana wakiiIslam tusishwawishike katika kuyaendea hayo mambo. Mikoa iliyo hatarini zaidi ni ile iliyopo kusini ikiwemo LIndi na Mtwara na ni mikoa ambayo Idadi ya wakazi wengi wao ni waislam .

Na kwa jinsi Serikali ilivyofocus kwenye suala la Corona unawapa muda zaidi kujipanga na kuandaa mikakati madhubuti. Sitoshangaa baada ya kuisha kwa Janga la Corona, janga la Ugaidi kuchkua nafas kama vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama havitatilia mkazo dalili hizi.

ABDULKARIM MZEE

Mwanadiplomasia na Mchambuzi wa Masuala ya Ugaidi katika bara la Afrika

rucotz98@gmail.com
Baada ya Tukio la Kitaya sasa watu watakuelewa. kuna watu walikuja na porojo zao wakatiule.
 
Back
Top Bottom