Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,132
- 27,073
Wakuu nimelipia gari last week, ila bado imeandikwa under offer.
Sasa kuna mambo yametokea yaliyo nje ya uwezo wangu, na hata gari ikija sitaweza kuitoa.
Kwa wenye uzoefu, je naweza cancel order na nikawa refunded? Je wanakata % ngapi ya nilicholipia!?
Natanguliza shukrani!!