Uwezekano wa kucancel order ya gari sbt..

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,111
27,001
Wakuu nimelipia gari last week, ila bado imeandikwa under offer.

Sasa kuna mambo yametokea yaliyo nje ya uwezo wangu, na hata gari ikija sitaweza kuitoa.

Kwa wenye uzoefu, je naweza cancel order na nikawa refunded? Je wanakata % ngapi ya nilicholipia!?

Natanguliza shukrani!!
 
Hawana ofisi hapa TZ?

Cha kufanya ongea na waagiza magari ikiwemo uwatembelee sbt ofisi zao pale posta muyajenge;wanaweza kukuconnect na mtu juu kwa juu because they do have massive database ya customers wanayoyahitaji;Pili miez hii miwili kasoro fanya online marketing u negotiate na watu hata mtu akikubali kulipia kodi akalitoa wewe uingie nae contract ya iliyobaki kwa kushikilia kadi original mpaka hela yako iishe kupitia lawyer na usifanye kienyeji,I will try kukuulizia kwa watu.But usisale pambana hela ni ngumu best usiiache ipotee
 
Back
Top Bottom