Uwepo wa TIC na kuwahudumia Wawekezaji nchini

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu, hasa Wataalamu wa Uwekezaji Tz, Hivi TIC huwa inahudumia new investors tu ku-facilitate investments zao?

Au pia inahudumia existing investors ku-facilitate investments zao, kutatua matatizo yao?

Yaani TIC inahakikisha existing investors survive and thrive?

Au mandate yake ni kuweka red carpet for new investors and once they are in watajijua na existing investors nao wapambane na hali zao?

Inahudumia wote katika sense kwamba wana kitengo cha aftercare kwaajili ya kufuatilia changamoto au mafanikio wanayopata wawekezaji ambao wamesajiliwa TIC?

Vilevile kila mwekezaji aliyesajiliwa anatakiwa kuwasilisha reports kila baada ya miezi 6. Pia Mwekezaji akitaka kufanya expansion anaweza kuwajulisha TIC?

Karibuni kwa Mjadala
 
TIC nilikua napata ishu huko za kuandaa document sasa ni online, duh .... kama unaconnection jinsi ya kulink na wawekezaji pls tutafutane. mi nafahamu kuandaa docs tutaenda sawa tu,
 
Back
Top Bottom