Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
TAARIFA YA UONGO NA UZUSHI
inaelekea umetumwa na chama chako cha Chadema kusambaza uongo huu na uzandiki.
Hii ni roho mbaya sana na tunakuombea na wewe ukilema ili uonje adha hiyo.
Kwanza Mama Ngoye HAKAI Kikota, anakaa kijiji cha Mapandapanda, Kiwira au Mwankenja,karibu sana na maerehemu John Mwankenja aliyeuwawa kwa visasi vya watu kama huyu anayeeneza pepo la uongo.
ULAANIWE!!!
Sasa Chama cha Chadema kinaingiaje hapa mkuu?Na wewe unaanza kuishi kwa hisia bila uhalisia!!!?