Uwepo wa Pepsi feki take away

Akotia

Senior Member
Dec 16, 2016
138
250
Za asubuhi?

So Mara ya kwanza kwa nchi hii kukamatwa kwa vitu bidhaa feki mbali mbali.

Nimekua mnywaji mzuri was Pepsi lakini siku za hivi karibuni nimehamia eneo flani hivi Dar Es salaam.kila nikinywa pepsi ya hili eneo IPO tofauti na eneo na maeneo mengine niliowahi kunywa.

Pepsi hizi feki zipo light na Ina ladha tofauti na Pepsi kiaina(kwa watumiaji was kinywaji hiki watatambua).Pia hii lebo yake inaonekana kabisa imewekwa Mara mbili maana gundi ya kwanza inaonekana kabisa.

Mamlaka husika ebu fuatilieni kuna uwezekano was kuwepo bidhaa za soda feki has a hizi take away na inawezekana zikawepo feki za soda nyingine pia.nawasilisha.
 

kenstar

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,283
2,000
Itakuwa ni zilizoexpire wanabadili lebo tu,niliwahi onja moja ladha butu nikaitema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom