Habari za Jumapili,
Ni furaha sana kuwepo kwa nyumba za kulala wageni. Siyo kila mgeni anastahili kufikishwa home au kulala kwako unapoishi!
Hivyo uwepo wa gesti unasaidia kuwatunza wageni wa namna hiyo. Kwanza ni biashara nzuri na yenye uhakika, pili ni moja ya huduma mhimu sana kwa faragha!
Lakini pamoja na yote hayo, kuna mitaa na mitaa. Kila mtaa una pepo lake!
Kuna mitaa ya viwanda, karakana, Bar, hospitali na makanisa n.k
Taarifa kutoka kwa wanajimu wa nyota na tiba mdadala unaonesha kwamba, uwepo wa gesti house nyingi katika mtaa ni kiashirio kikubwa cha uwepo wa pepo la ngono kwa wakaaji wa mtaa mzima!
Hili huonekana kupitia tabia za mtu mmoja mmoja aishiye mtaa huo kama ifuatavyo!

- Watoto kwa wakubwa hupenda umbea
- Mabinti kutoka mitaa hiyo huharibika mapema
- Wanawake wa mtaa husika hupenda kukaa vibarazani
- Wake za watu mtaa huska hushawishika kirahisi sana kuchepuka na niwasiri sana
- Wanaume wa mtaa huska hujidai kama hawajui lolote kuhusu kinachoendelea kwenye nyumba hizo wakati kumbe ......!