Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Tulishakosea tokea nyuma na hata kinachofanyika sahivi ni kurudia makosa tena. Dar ilijingwe bila ramani na ndo maana hata leo tunajiuliza kwanini mvua zinaonekana kuwa tatizo la muda wote.
Tutapanua barabara, tutavunja majumba na mitaa na bado haitasaidia zaidi ya kupoteza muda. Jambo moja naliona, wilaya za mkoa wa Pwani bado kuna maeneo na mashamba maekari kwa maekari na wamiliki wameamua kuyaacha yawe mapori.
Nashauli serikali, watu na shughuri za dar ziwekwe katika mpango maalumu wa kuhamiahiwa katika mkoa wa Pwani. Itasaidia kulinda miundombinu ya dar na kuiendeleza Pwani kukua kimji na kimapato pia. Naamini kwa ujenzi wa 8 lane za barabara na reli ya umeme basi shughuli za dar kwa watu hawa bado zitakuwa salama na ajira zao zitanusurika pia
Wape salaam!