Uwekezaji wa muda mrefu

alsam

Senior Member
Jun 16, 2016
184
152
Habarini wandugu,

Karibu tuwekeze kwa pamoja katika uwekezaji wa muda mrefu ambao una manufaa makubwa kwa miaka ijayo.

Uwekezaji huu unachukua kuanzia miaka 2-5-10
Uwekezaji huu sio pasua kichwa kama ilivyo uwekezaji mwengine
Uwekezaji huu unahitaji uvumilivu wa hali ya juu sio utajiri wa haraka

Ni uwekezaji wa cryptocurrence
Ni kuanzia hata $20 hadi kuendelea
Hii pesa utanunua coin then utazihifadhi mwenyewe sisi tutakuelekeza namna ya kununua na kuhifadhi.

Nakaribisha maswali
 
mkuu huo ni uwekezaji ila kwanini tusiwekeze kwenye bonds na bills ambako ni uhakika zaidi?

Ukweli ni kwamba crypto currency inakuwa mara dufu unaweza invest $100 na ukapata zaid ya $10000 kutegemea na muda pamoja na coin husika jaribu kufatilia crypto industry
 
tatizo hizi biashara zimekuwa kinadharia zaidi yan ni ka kina bitcoin, na nyingine nyingi ambazo zimewah tokea na zinatokea ila binafsi napenda kushauri mtu awekeze katika vitu vilivyo halisi zaidi kuliko hizi industry, japo nakiri kunawatu wamepiga pesa sana na na wanaendelea kupiga, ila kwanini mkuu usijaribu bills japo faida si kubwa sana ila uhakika faida.
 
Nakubali unachokisema lkn Hii industry inahitaji elimu kwanza ukipata elimu yake sahihi kwa mtu sahihi unaweza sema nilikuwa wapi siku zote.

Technologia inakuwa kwa speed sana na ndivyo evolution of money inavyotoka from fiat money to crypto naamini miaka 10 to 20 au zaid hizi paper money tutaanza kuzitafuta kwa tochi

Huko kwenye bills mm sina elimu nako isitoshe faida ni ndogo
 
Nataka kufaham ukiachana na bitcoin, cryptocurrency gani ni affordable na inafuture nzuri ambayo unamushauli mtu awekeze.
Pia njia rahisi ambayo mtu atatumia ku make deposit and withdraw kwenye io cryptocurrency
 
Zipo coin nyingi sana ila baadhi yake ni Bittorent (BTT) TRN, BMX,XVG, WIN zote hizo ni nzuri mno na bei yake ni km Tsh 36 au $0.016 ni bei rahisi na hizi ukiwekeza vizuri hata $100 ni utapata pesa nyingi sana
 
Nakubali unachokisema lkn Hii industry inahitaji elimu kwanza ukipata elimu yake sahihi kwa mtu sahihi unaweza sema nilikuwa wapi siku zote.

Technologia inakuwa kwa speed sana na ndivyo evolution of money inavyotoka from fiat money to crypto naamini miaka 10 to 20 au zaid hizi paper money tutaanza kuzitafuta kwa tochi

Huko kwenye bills mm sina elimu nako isitoshe faida ni ndogo
sawa sawa mkuu mie naamini zaidi katika uhalisia, huko nitajitahidi kupata muda na elimu yake maana kujiwekea mipaka ni tatizo,
 
Back
Top Bottom