Uwekezaji unaofanywa katika mifuko ya hifadhi za Jamii kama vile NSSF, PPF unamnufaisha nani?

kubenafrank

Member
Aug 14, 2011
82
22
Kila mwaka katika mikutano ya wadau ya mifuko hii ya hifadhi za jamii kumekuwa na wimbo wa uwekezaji,uwekezaji.Wamejenga majengo mengi, madaraja na biashara nyingi tu zinafanywa na hizi fedha za wavuja jasho wa taifa hili bila ridhaa yao lakini haijawahi kuwasaidia wanachama hata mara moja.
Fedha hizi ni za wanachama zinatumiwa bila ridhaa yao na faida zinazopatikana katika uwekezaji au uwizishaji huo hazijawahi kumnufaisha na hazitakuja kumnufaisha mwanachama. Kwanini haya yanafanyika kama vile wanachama ni mazuzu?hawapewi hata nafasi ya kukopeshwa fedha zao kwa manufaa yao? Nchi hii ni ya ajabu sana.
 
kwanza kabisa Nssf na mifuko kama hiyo mingine sio ma benk jamani hilo tuelewe so swala la kukopeshana na dhani ni financial institution ndo pahala pake,hizo ni social security institution...Pili Investment zinafanywa kwa ajili ya jamii na mifano mingi ipo,..UDOM,POWER PLANTATION ,Majengo ambayo badae wafanya biashara wanapangisha kisha wanaajiri watoto zetu na then kuingizia kipato serikali...ni vingi sana wana fanya kwa upande huo,,,swala la kushirikishwa wadau pia lipo coz .muajiri,muajiriwa,na serikali ndo wadau na wote wanashirikishwa swali ni kwa kiasi gani employees wanashirikishwa?
 
Mlikuwa mnalia kila leo kwamba Dar es Salaam, na Tanzania kwa jumla tumepitwa na Nairobi na Kampala kwa majengo makubwa na mazuri. Sasa NSSF, PPF na wengine wanajenga, mnalalamika! Hivi waswahili mfanyiwe nini?
 
Heshima yako mkuu, mimi nafikili mleta post hii anauliza wanachama wa hifadhi hizi wananufahika vipi na uwekezaji wa taasisi hizi.
 
kwanza kabisa Nssf na mifuko kama hiyo mingine sio ma benk jamani hilo tuelewe so swala la kukopeshana na dhani ni financial institution ndo pahala pake,hizo ni social security institution...Pili Investment zinafanywa kwa ajili ya jamii na mifano mingi ipo,..UDOM,POWER PLANTATION ,Majengo ambayo badae wafanya biashara wanapangisha kisha wanaajiri watoto zetu na then kuingizia kipato serikali...ni vingi sana wana fanya kwa upande huo,,,swala la kushirikishwa wadau pia lipo coz .muajiri,muajiriwa,na serikali ndo wadau na wote wanashirikishwa swali ni kwa kiasi gani employees wanashirikishwa?

mbona wafanyakazi wa NSSF wanakopeshana michango yetu hiyohiyo?
 
Unainufaisha wananchi wote wanaochangia na wasiochangia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wewe si unaona UDOM imejengwa na bado tunatarajia kujenga kivuko cha Kigamboni
 
Mlikuwa mnalia kila leo kwamba Dar es Salaam, na Tanzania kwa jumla tumepitwa na Nairobi na Kampala kwa majengo makubwa na mazuri. Sasa NSSF, PPF na wengine wanajenga, mnalalamika! Hivi waswahili mfanyiwe nini?

Ase kumbe uko mbali na uhalisia-naona muda wa miaka kama miwili imepita pengine umeelewa wanachokilalamikia!
1.Value ya pesa za wanachama hakuna-hawajamaa wanawekeza lakini faida wanalipana wao vizuri nakuwa sahau wanachama.
Ebu wewe kama Mwandishi waulize SSRA kuwa NSSF na akina PPF wanatakiwa kumwekea Mwanachama faida ya kiasi gani kwa kila shilingi yake wanaoyotumia kwa uwekezaji?.

Jingine kwa vile umwandishi ebu tupia mahali husika wazo hili la kuwanufaisha Wanachama kupitia pesa zao kama sheria inavyoelekeza:

Collateral 38.-{ 1) The Minister may, in consultation with the Authority, make for home regulations for using benefit entitlements as collateral for home mortgage purposes for a member who has not attained the age of retirement.

(2) The collateral for home mortgage granted to a member under subsection (1) shall not exceed fifty percent of the total benefit entitlement at the time of award.
(3) The provisions of subsections (1) and (2) shall apply to the Fund offering long term benefits.

Social Security laws (Amendment) Act 2012.

49. The principal Act is amended in section 20, by adding immediately after subsection (3) the following new subsections:
"(4) Without prejudice to subsections (1),(2) and (3), benefit for entitled person may be used as collateral for home mortgage for a member who has not attained the age of retirement.
(5) The amount to be considered as the value out of collateral for home mortgage shall be
determined and set at the rate prescribed under Cap. 135 regulations and guidelines made under the Social
Security (Regulatory Authority) Act."

Nadhani kwa kushirkiana na TPB watu wengi watanufaika-na Benki hii chini ya umilki mkubwa wa Serikali/Umma itapanda chati.

Shareholding Structure

piechart.png
 
Back
Top Bottom