Uwekezaji una business na technical secrets:Si busara kulazimisha mtu akuambie atafikia vipi malengo

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
NImesikia wasomi wetu ktk mamlaka ya CCM leo wakilazimisha wawekezaji wazawa kusema watafikia aje malengo husika.Huu ni uovu mkubwa sana.Kwani mjumuisho wake una vitu vingi ambavyo ni siri inayoweza kuwa mtaji kwa mwekezaji na hatoweza tumia tena kwa ufanisi ,au asiweze kabisa wengine wakianza tumia.

Sijaona hili ktk fikra za watawala wetu.Na mbaya hii ipo ktk aina ya uwekezajia ambao si tender ya mamlaka.Yaani si kitu kinachofanya huduma au kupeleka bidhaa kwa serikali .Sasa kwanini serikali itake jua njia za kufikia mafanikio ya mwekezaji binafsi.
Pengine Serikali ingewaeleza wananchi km kujua hayo kutawasaidiaje kulinda kodi na mrabaha?hiyo ndiyo sehemu ya serikali .
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
MaCCM yanataka sana kila details yapewe ili kwa ufisadi watumie wao bure halafu wabane wengine wasipate nafasi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom