mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,349
Jamaa umeongea kwa uchungu sana ila ndio ukweli huo.giza lipo kubwa tu nikiangalia sioni mstari kutenganisha uwekezaji na udhamini wa Mo maana nanusa mgongano wa kimaslahi na atakayeumia na Simba sio MoKizazi cha sasa sikuhizi hawajibu hoja bali wanajibu ki ushabiki. Kuanzia kwa Uccm na U CDM then imekuja U Simba na U Yanga.
Taifa ata mada inayohusu mustakabali ya maendeleo ya jamii zetu watu wanajadili ki ushabiki tu.
Swali lingine; Ile 20B alilouliza Kigwangala kua Mo hajalitoa ndiyo ametoa sasa? Kigwangala alikua sahihi?na hizi pesa Mo anazitoa kama matakwa ya makubaliano inavyosema (mkataba) au anajiamulia tu siku akupata analipa?
Naona giza mbele kwa upandea wa uwekezaji wa Mo au kwa vile Simba hatuna namna?
Isije ikawa kama yale ya Stend Utd baada ya kushuka Ligi kuu ndo walinyang'wa gali na Jambo na sasa inafanya kazi ya kupeleka wafanyakazi kiwandani.