Uwekezaji kwenye Hisa

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
535
329
Ndugu wanajamvi wasalaam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!
Ninaoomba mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hii aina ya uwekezaji anipe ufahamu kuhusu hii aina ya uwekezaji ili na mie nijiridhisha niweze kufanya aina hii ya uwekezajia.
Naomba kujuzwa mchakato mzima wa aina hii ya uwekezaji na ni kwa jinsi gani naweza kufaidika na aina hii ya uwekezaji na ili nifaidike zaidi ni njia gani ni nzuri katika kufanikisha hili? Maoni yako ni muhimu kwangu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
Hii ni taaluma nyeti na hili kupata maelezo yatakayokidhi kiu yako wasiliana moja kwa moja na wataalamu waliopewa leseni na mamlaka husika kwa kazi hiyo kupitia: (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange).

Kwa maelezo ya jumla tembelea tovuti ya Dar es Salaaam Stock Exchange (DSE), facebook page ya DSE (https://www.facebook.com/dsetanzania), blog ya DSE (http://dsetanzania.blogspot.com), na unaweza kupata program za uelimishaji kupitia DSE twitter na Youtube.
 
Back
Top Bottom