Uwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Habari za mdaa juu wana jf,Leo nimekuja kwenu nikiomba kufahamishwa hasa juu ya gharama za uwekezaji kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu hasa kwa mkoa wa singida,Dodoma ,Tabora na Shinyanga vitu ninavyotaka kujua nikama bei ya duara,karasha na gharama ndogo ndogo za uendeshaji.Asanteni wanajamvi
 
Bos gharama yakupata duara nibule kabisa kwakuwa unapewa nammiliki wa lesen yauchimbaji ila gharama zakarasha inategemea ila inaanzia 7ml gharama zingine ni kuchoronga,kulipua,kulisha kambi,kufungua mwalo ili ukusanye maludio ambayo badaye ndiyo yatakufanya upate hela nyingi yapamoja pia nakulisha kambi yaan wafanyakaz ila nakushauli kama mtaji wako nimdogo halafu hauna uzoefu acha hiyo biashara maana unaweza kupata hasara ila kama unauzoefu au mtaji unatosha nicheki inbox nikupe maelekezo zaid

Shukrani,experience ni ndogo sana naweza kuwa na 10m at beginning but may be ntakuwa nikiongeza laki mbili kila wiki kama nitalipata singida(London I,sambaru au mpipiti nitafrahi zaidi
 
Niendelee kushauri biashara ya madini ina mambo mengi sana ..nkisema sana namaanisha ina siri nyingi kama huna uzoefu kwenye hii bishara ata uwe na mtaji wa 100m mzoefu mwenye 5m atakuzidi mbali sana utafilisika utamwacha yeye kwenye game.

Hakunaga pesa ya bure pesa ni Vibration energy haiji kwako kirahisi lazima uivute na uitengenezee mazingira rafiki kukaa...ukiona mwenzio kafanikiwa kwa nji a fulani usizani kuwa ukimwiga na wewe utafanikiwa vinginevyo matajiri wangekuwa ni wengi kuliko masikini.
 
Back
Top Bottom