mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Habari za mdaa juu wana jf,Leo nimekuja kwenu nikiomba kufahamishwa hasa juu ya gharama za uwekezaji kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu hasa kwa mkoa wa singida,Dodoma ,Tabora na Shinyanga vitu ninavyotaka kujua nikama bei ya duara,karasha na gharama ndogo ndogo za uendeshaji.Asanteni wanajamvi