Uwekezaji; A $4billion project in Congo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwekezaji; A $4billion project in Congo

Discussion in 'International Forum' started by Rev. Kishoka, Apr 22, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  What if we could have done the same with Barricks on these Madini projects?

  Inakuwaje wenzetu wanavuna miundombinu kwa kuuuza Shaba, dhahabu, almasi na uranium, sisi tunaishia kupata makapi?

   
 2. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  But that deal is dubious, the chinese will make about 40bil from that trade...
   
 3. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Lakini si kutajengwa japo barabara, mgodi, hospitali na takataka bwelele? Sisi tumepata nini?
   
 4. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #4
  Apr 22, 2008
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Kongo inaonekana kuja juu sana katika uwekezaji. Nimesoma katika gazeti la guardian la jana 21st April, kuwa mabenki na mashirika ya fedha yamekutana jijini london ili kupata pauni 40bn (dola 80bn) kwa ajili ya mradi wa umeme wa Inga wenye uwezo wa kuzalisha MW 45000. Umeme huu utafika mpaka Ulaya na Mashariki ya Kati.

  Huu ni uwekezaji mkubwa mno. GDP ya Tanzania ni takriban dola 13bn, sasa uwekezaji huu ni kama mara sita ya GDP ya Tanzania. Nakumbuka kuna kipindi Dkt. Salim Ahmed Salim alipokuwa Katibu Mkuu OAU alisema, Kongo ikitulia itakuwa ni moto wa kuotea mbali.

  Sasa Wachina nao wanajenga reli na barabara. Tuiangalia kawa karibu sana Kongo. Labda twaweza kujifunza kitu
   
 5. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli at least they are investing in much needed infrastructure, but kama Zitto anavyosema, tuwaangalie sana hawa. I agree the deals we have been making hatuoni faida yoyote ile. tatizo ni Ubadhilifu na Wizi wa viongozi. Hatuna viongozi kabisa wanaojali maslahi ya wananchi. I agree, whatdid we get from Barrick? Isnt our Gold mine one of the biggest, it looks like people have been selling our country for peanuts. We should be cautious with these chinese too
   
 6. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Unajua tusipoangalia sana in 3 years tutakuwa tunakimbilia Congo na Rwanda kuhemea na kuomba misaada ya Chakula na Umeme.

  Sijui Mungu katunyima nini Watanzania, tuna kila kitu, lakini ndio masikini wa kutupwa!
   
 7. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawa nao malofa tu wameambulia less than 10%. Watakachopata hapo sanasana ni mi barabara feki ya low quality. Alafu midini yao inavunwa kwa bei rahisi mno. Wachina wanaenda kutengeneza products na kupata faida mara dufu. Kwa nini viwanda vinavyotumia madini hayo wasivihamishie Congo? Mbaya zaidi ni kuwa price ya Madini yao ita remain low permanently. Ni Walewaleeeeeeee tu
   
 8. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuna vitu viwili, kupata invesment na matunda ya hizo investments ku trickle down kwa mwananchi wa kawaida, hivi vitu viwili sio lazima viende pamoja.

  Congo inaweza kupata investment kubwa sana, lakini sitafurahi mpaka nitakapoona matunda ya investments hizo yanapokuja kubadilisha upatikanaji wa umeme Kinshasa, network ya usafiri Congo ya kati, kusini na mashariki pamoja na kupandisha mlo na elimu ya Mkongo wa kawaida.

  Tusipoangalia ndiyo vile tutalishwa statistics za "Economic Hitmen" kama hizo za "The Guardian" watakaotupa projections za nini hizo 40bn pounds zitafanya, only to end up with a project that does not deliver, a 40bn pound debt, plus interest and annual servicing.
   
 9. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  M/mungu hakutunyina kitu bali katupa viongozi manyangau wasiojali watanzania bali wanajali matumbo yao wenyewe, bila hawa kunyimwa nafasi tutaendelea kupata tabu. Mbunge mmoja leo kalalamikia mkataba wa Songas wanalipwa mil. 240 kila siku kwa miaka 20, huu sio uwekezaji bali rooting kwenye nchi masikini kama tanzania.
   
 10. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  funny enough leo hii nilikuwa naongea na mzee mmoja alizaliwa Tanzania, nikamwambia barabara ya dodoma Arusha mpaka leo fixi,
  alisikitika sana, nikamwambia ukiziona hizo zingine mikoani utalia. Sisi miaka mingi pesa imekuwepo ya kuweka at least basic infrastructure, sema huu wizi kwa kweli hatuwezi kuwafumbia macho hawa mafisadi. Wamekwamisha maendeleo na sisi wananchi tutakuwa tumesaidia kukwamisha maendeleo tusipo
  demand responsibility ya hawa viongozi, na wananchi wakiendelea kuwachagua hawa watu baada ya yote haya, huu umasikini only Tanzanians should be held accountable for. A serious awakening of the masses must occur and CCM lazima wapapmbane wenyewe kwa wenyewe kuwachuja hawa wezi and we also need a healthy unified opposition to challenge CCM that way sisi wananchi tutakuwa na urahisi wa kuchagua nani atafaa. Vyama 12 na uchafu siyo democracy ni ubabaishaji tu. waungane na form a few solid parties
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Pundit,

  I agree with you and so is Mwanahabari suspicions.

  Hivi sisi kama waafrika, tulishindwa kuweka nguvu za pamoja kutumia SADC, EAC, ADB, ECOWAS au PTA (is it still in existance) even mkopo kutoka Libya na SA kuanza massive investiment projects kwenye mambo ya miundombinu (umeme, simu, maji, barabara, reli) na hivyo tutakachopata kutoka kwa wageni ni pesa tuu?

  How hard is it for us to undertake the same project and using same efforts without exporting anything to the Wawekezaji countries?

  Sometime I wonder what are the objectives of having such pacts as SADC or EAC!
   
 12. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I also wonder, to me these organizations seem like clubs to me whereby our leaders just go to enjoy the dinners and pomp. We need strong economic frameworks similar to the EU where by the focus is economic advancement. All these Yrs, SADC imetusaidia nini kiuchumi (Zaidi ya wasomi wetu kukimbilia botswana and the rest)
   
 13. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkulu
  Hizi blocks zipo kwa ajiri ya kusaidi viongozi kuwakandamiza wananchi, zimbabwe wana matatizo SADC wamefanya nini mpaka, Kenya walikuwa na matatizo Mseveni alimsapoti kibaki wakati anajua kura zimeibiwa, hawana economic principles zaidi ya kuwepo kisiasa.
   
 14. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu imenishangaza sana tulipeleka jeshi Anjouan Comoros na AU, halafu hakuna hata tamko mmoja kutoka serikali yetu na AU kuhusu ile meli ya silaha iliyokuwa destined for Zimbabwe (Zambia na nchi chache tu wameongea). Wazimbabwe wanauwawa kila siku na serikali ya zimbabwe, hakuna hata tamko kutoka kwa mwenyekiti...(but i guess what do we expect, Muafaka alishindwa)
   
 15. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  We Africans are a joke of millenium!

  We have all the natural resources, labor and even the intelligent minds. However we are so stubbon to seek capital and utilise our own resources, labor and creative minds to build a stable continent that can sustain itself economically!

  I have no vague or faint idea why we dwell on foreigners to come and bail us out on everything including mosquito nets, water pumps and toilets!
   
 16. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  And one of the main thing you wonder why investors stay away from us...they say its simple...its RISK! why on earth would anyone logical invest in Tanzania zaidi ya wezi tu? There is no accountability, without "connections" its almost impossible to export or import. And the saddest thing of all with us, is the rule of law seems to focus on petty theft than dealing with all aspects. People are forgetting that the Judicial is a significant branch of government, and if they are ineffective how do we enforce accountability?.....Our leaders are not serious, and that is dangerous to the health of the nation.  Ni aibu tunategemea na kushangilia donations za Mosquito Nets. I recommend Chenge anunue neti hizo za mbu
   
 17. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Rev Kishoka,
  Pesa inaonekana kubwa, lakini inaonekana wamepigwa bao kubwa sana. Ukweli ni kwamba waafrika hatujui kunegotiate. Au wanaomwagika wino, wanaridhika na commission yao kuliko longterm interests and benefits.

  Niliona prog lastwk wanaongelea haya mambo ya Congo. Wakawa wanaongea na mzungu mmoja alie-negotiate dili. Twas funny. Interviewer akapiga mahesabu yake akamwambia this deal is not fair, jamaa akasema umekosea. There are somethings you havent calculated well. Look, we believe we are doing the right thing, would you rather have this place undeveloped as it is? Or do you want jobs created and bla blaa.....

  It just made the impression that Africans cant do stuff without foreigners!!!
  Daaaymn.

  At this moment........i cue Nyani Ngabu with his trademark plagiarised comment....Waafrika
   
 18. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280

  Tatizo la Africa siyo uwekezaji. The problem is to see the benefits za huo uwekezaji. Congo ni sanaa tuu hapo..nchi imeshakuwa shamba la bibi..kila mtu mwenye njaa anajichumia...maana bibi alishapofuka macho. Just like Tanzania et al. Africa HATUWEZI and I MEAN IT, HATUWEZI kuendelea bila kubadilisha mfumo wa kujitawala. Simply we cant. Hata leo Congo wangepump $$10 Billion, wananchi wataendelea kuwa maskini, wataendelea kupigana, wanasiasa wataendelea kununua manyumba Paris na Brussels basi. Unless sikumskiliza mwalimu vizuri, lakini foreign investment inahitaji utawala wa sheria kwa mwekezaji kujua kwamba yuko safe na mali yake na kama akinyangwanya ana pa kwenda! Not in Africa my friend.

  We angalia Tanzania we are spending millions eti kuattract tourists, forgeting kwamba, ungetumia hizo $$$ ukajenga barabara, ukaempower police wakaweza ku-contain crimes rate, ukajenga hospitali nzuri, mtalii aking`atwa na nyoka apate pa kwenda, ukaweka huduma nzuri za maji na usafiri wa uhakika..watalii will always come, we have what it takes for them to come! Sana sana tunachokifanya tunawakaribisha harafu wakirudi wanaambiana kwamba Tanzania hakufai..ni kuchafu nk. Sijui viongozi wetu wanafikiria kwa kutumia sehemu zipi za mwili! I dont know!

  So Like Congo + Tanzania =like Africa! We dont know our priorities
  .
   
 19. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Masanja,

  Hii regional corporation tunayoililia hata kutaka kuletwa kwa Shirikisho la Afrika Mashariki does not make sense if our focus is on political development (democracy) and not for the region to be self sufficient.

  Take a look at the map, and ask yourself why aren't we having a unified comminiation system that will link all our countries? This is good and efficient rail system, road systems, power and electrical network, water, telecomunication and oil piplines?

  Hivi vimikutano ni vya kutunishiana misuli, kugombana kuhusu tarrifs na kuonyeshana nane mwenye ndege nzuri na suti bomba?

  On EAC, do we even have good road system kutuunganisha? what about railway system? are they linked? can we move goods and people from Mwanza to Arua on railway?

  Sisi tunazungukwa na maziwa matatu makubwa duniani, how efficient are we using these for our development au tumebakia kuimba na kusifia tumezungukwa na maziwa matatu?  [​IMG]
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2016
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,589
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Hivi huu mradi ulifanyika kweli?
   
Loading...